Mjamaa masalia
JF-Expert Member
- Nov 9, 2012
- 373
- 354
namuonea huruma mama yako aliyekuzaa bora angezaa bata angepata mbolea
Mkuu mbona povu linakutoka sana? Ni huo uchaguzi wa kalenga au kuna kingine cha ziada
namuonea huruma mama yako aliyekuzaa bora angezaa bata angepata mbolea
Kwa picha yako na uliyoyaandika nyie ndio mnafaa kutekelezewa ile adhabu ya Museveni......Kwani uzee ndiyo hoja asitafute huruma za kitoto hata kama angetoka karibu kichapo kiko pale pale atajuta anahama vyama kama slaa anyoosha maelezo tu.
Grace Tendega ni Power Monger. Yeye hamu yake ni kuwa mbunge tu na si kuwatumikia wana Kalenga
Akaendelee na biashara zake za ulanzi siasa hataziweza zinawenyewe amejaza mirasta kichwani akidhani ndiyo kivutio kumbe ni mzigo tu.
Duuh,sasa huyu raia wa UK ametoka wapi na wana kalenga
Chadema a.k.a Jahazi Asilia
Hivi huyu Sioi Mgimwa hajatoboa maskio na kuvaa mihereni ya kimamtoni?
Tatizo wewe umezaliwa katika jamii ya wakulima, akili yako inawaza mbolea na pembejeo za kilimo. Unajua mama yangu anaishi wap na nimezaliwa wap?? Nimezaliwa agakani kitovu kikatupwa bahari ya hindi..mama alikuwa anaishi kota za UDSM bora hata ungesema mama yangu angezaa kompyuta ama kitabu will b more relevant. Ficha ujinga wako
Ccm ni familia ya viongozi,Tendega atapewa kura za hasira kuwaadhibu magamba.Ccm ni ukoo wa panya.
Fuatilia kwa makini, unadhani kikwete kato familia ya kishamba?Acha ushamba wewe, kama umezaliwa Aga Khan then what? Kikwete hajazaliwa Aga Khan na sasa ni raisi wa nchi while wewe uliyezaliwa Aga Khan the best you can do ni kupost uharo wako hapa JF.