Grace Tendega: Nimetoka mbali na wanakalenga

Grace Tendega: Nimetoka mbali na wanakalenga

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Posts
480
Reaction score
644
Grace Tendega: Nimetoka mbali na wanakalenga

Bango lenye picha ya zamani ya mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Tendega, ambalo lilitumika katika uchaguzi wa mwaka 2005, alipogombea ubunge kupitia chama cha Jahazi Asilia, ambayo mpaka sasa imetundikwa katika nyumba ya mkazi wa kijiji cha Magulilwa

attachment.php

Ccm ni familia ya viongozi,Tendega atapewa kura za hasira kuwaadhibu magamba.Ccm ni ukoo wa panya.
 
huyo mr YES! NO! aliyekuwa anaishi ughaibuni ni kweli anayafahamu matatizo ya wana kalenga! JE AMEWAHI KUBEBA NDOO YA MAJI TOKA KISIMANI AKAPANDISHA KILIMA AKAONA MACHUNGU YAKE?
 
Grace Tendega ni Power Monger. Yeye hamu yake ni kuwa mbunge tu na si kuwatumikia wana Kalenga
 
huyu mama hatakiwi kuwezeshwa, ANAWEZA

ushauri:
wapiga kura wanakalenga mpeni kura zenu Grace Tendega, ana sifa ya ujasiri wa kusimamia hoja, HATAWAANGUSHA.
 
huyo mr YES! NO! aliyekuwa anaishi ughaibuni ni kweli anayafahamu matatizo ya wana kalenga! JE AMEWAHI KUBEBA NDOO YA MAJI TOKA KISIMANI AKAPANDISHA KILIMA AKAONA MACHUNGU YAKE?

Mkuu, hilo lisikupe shida sana. Bahati nzuri kinachotekelezwa ni sera za ccm na mgimwa ndo msimamizi mzuri wa utekelezaji wa sera hizo na si Tendega
 
Kwani uzee ndiyo hoja asitafute huruma za kitoto hata kama angetoka karibu kichapo kiko pale pale atajuta anahama vyama kama slaa anyoosha maelezo tu.
 
huyu mama hatakiwi kuwezeshwa, ANAWEZA

ushauri:
wapiga kura wanakalenga mpeni kura zenu Grace Tendega, ana sifa ya ujasiri wa kusimamia hoja, HATAWAANGUSHA.

wana Kalenga ndo wanajua uzuri wa Mgimwa na ubaya wa Tendega. Usilazimishe mkuu. Unatia huruma aiseee
 
huyu mama hatakiwi kuwezeshwa, ANAWEZA

ushauri:
wapiga kura wanakalenga mpeni kura zenu Grace Tendega, ana sifa ya ujasiri wa kusimamia hoja, HATAWAANGUSHA.
Akaendelee na biashara zake za ulanzi siasa hataziweza zinawenyewe amejaza mirasta kichwani akidhani ndiyo kivutio kumbe ni mzigo tu.
 
Kwani uzee ndiyo hoja asitafute huruma za kitoto hata kama angetoka karibu kichapo kiko pale pale atajuta anahama vyama kama slaa anyoosha maelezo tu.

Mkuu Simiyu Yetu, tutarajie pia hoja hiyo kuibuka 2015. Wapo watakaolazimisha kura apewe Dr Slaa eti kwa vile tu alishindana na JK. Wanasahau kuwa mgombea wa ccm hatakuwa JK na mazingira ya kisiasa yatakuwa yamebadilika
 
Grace tendega namuonea huruma sana. Angeshinda tatizo ni chama alichopo
 
namuonea huruma mama yako aliyekuzaa bora angezaa bata angepata mbolea

Tatizo wewe umezaliwa katika jamii ya wakulima, akili yako inawaza mbolea na pembejeo za kilimo. Unajua mama yangu anaishi wap na nimezaliwa wap?? Nimezaliwa agakani kitovu kikatupwa bahari ya hindi..mama alikuwa anaishi kota za UDSM bora hata ungesema mama yangu angezaa kompyuta ama kitabu will b more relevant. Ficha ujinga wako
 
Back
Top Bottom