controler
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,562
- 361
Tatizo wewe umezaliwa katika jamii ya wakulima, akili yako inawaza mbolea na pembejeo za kilimo. Unajua mama yangu anaishi wap na nimezaliwa wap?? Nimezaliwa agakani kitovu kikatupwa bahari ya hindi..mama alikuwa anaishi kota za UDSM bora hata ungesema mama yangu angezaa kompyuta ama kitabu will b more relevant. Ficha ujinga wako
Bwahahahahhahah. Umeleta kauli za kishamba kweli. Nyie ndo bado mna zile za kuwa nimezaliwa town bla bla bla. Agakan my ass