Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,928
- 2,320
- Thread starter
-
- #81
Sio lazima bamyogode ndio maana nimekwambia umekremu masters sio lazima uspecialize ulichosomeaYou are very wrong
Define what is Masters ?
Huku kwetu majuu kama ukiwa umesoma MD , then masters ukaenda kusoma MBA , wewe Huna masters Bali una added advantage !
Yani usome degree ya ICT , ukasome MBA , ume masters nini hapo
Ndio maaanq hata utumishi siku hizi hawakuiti bingwa kama masters yako ime deviate from your bachelor degree
Maana utumishi ili masters yako waitambue kama mbobezi na ulipwe tofauti na mtu wa bachelor ni lazima uwe umeendeleza field uliyosomea degree
Mbona huko bongo hata Serikali yenu ndio inataka hivyo
Haiwezekani ujiite masters wakati huna muendelezo. Hizo ni added advantage
Mtu aliesomea MARKETING au BCOM akipiga MBA , huyo ndio ame masters
Otherwise unakuwa unesoma kachumbari
upo sawaYou are very wrong

kiutumishi lazima iandane na ulichosoma degree ili kupanda daraja na kutambulika kwamba umekuwa master wa degree yako ya kwanza.Sio lazima bamyogode ndio maana nimekwambia umekremu masters sio lazima uspecialize ulichosomea
Utumishi Tz wanalipa mshahara wa masters?You are very wrong
Define what is Masters ?
Huku kwetu majuu kama ukiwa umesoma MD , then masters ukaenda kusoma MBA , wewe Huna masters Bali una added advantage !
Yani usome degree ya ICT , ukasome MBA , ume masters nini hapo
Ndio maaanq hata utumishi siku hizi hawakuiti bingwa kama masters yako ime deviate from your bachelor degree
Maana utumishi ili masters yako waitambue kama mbobezi na ulipwe tofauti na mtu wa bachelor ni lazima uwe umeendeleza field uliyosomea degree
Mbona huko bongo hata Serikali yenu ndio inataka hivyo
Haiwezekani ujiite masters wakati huna muendelezo. Hizo ni added advantage
Mtu aliesomea MARKETING au BCOM akipiga MBA , huyo ndio ame masters
Otherwise unakuwa unesoma kachumbari
Ndiyo, lakini GPA 2.3 moja kwa moja kwenda Master Tanzania ni ngumu.Habarini wakuu
kama heading inavouliza hapo, je unaweza kusoma masters wapi kama ulipata gpa ya 2.3 degree?
maaana naona vyuo vyote minimum ni 2.7 GPA, je kuna chuo popote au namna yoyote mtu anaweza kafanya kujiendeleza?
Kwa sisi madaktari ndioUtumishi Tz wanalipa mshahara wa masters?
Ni Academicians na Madakitari PekeeUtumishi Tz wanalipa mshahara wa masters?
bila shaka we jamaa ni muha maana sio kwa ubishi huo. tangu mwanzo wa thread naona reply zako ni kubisha tu 😂😂😂😂😔Sio lazima bamyogode ndio maana nimekwambia umekremu masters sio lazima uspecialize ulichosomea
Academicians unamaanisha kada zipi?Kareseat yale nasomo yote ulliyokuwa na Makara
Ni Academicians na Madakitari Pekee
Inawezekana, siku hizi vyuo vyote system ipo compromisedMUHAS kupata GPA ndogo kwa udaktari wa binadamu ilikuwa zamani, sikuhizi nasikia wamelegeza, currently katafute G.PA ya 2.5 UDSM au UDOM uone kama utapata.
Hongera babu! Mimi kuna semister nilipiga sup 4 kati ya masomo 6.Nilisoma na Mwita Waitara (Mbunge)! Ukimuuliza atakuambia. Nilikuwa mchezaji maarufu wa mpira wa miguu, halafu darasani sijawahi ku sup, ku carry wala ku disco. GPA ya 3.6 si haba kwa miaka ile.
Sijazungumzia madaktari, huyo mtoa mada siyo daktari ni mwalimu, je wanalipa masters zao?Kwa sisi madaktari ndio
Sio nyie
Average ya grade B unaipataje? How to calculate it?Ndiyo, lakini GPA 2.3 moja kwa moja kwenda Master Tanzania ni ngumu.
Kwa viwango vya TCU, Master kwa kawaida inahitaji GPA 2.7 au B grade. �
Tanzania Commission for Universities
Njia nzuri kwa mwenye 2.3 ni:
Postgraduate Diploma (PGD) — TCU inaruhusu bachelor yenye minimum GPA 2.0 kuingia PGD. �
Tanzania Commission for Universities
Ukimaliza PGD kwa GPA inayotakiwa, unaweza kuomba Master inayohusiana.
Pia baadhi ya vyuo vinaweza kuwa na njia za admission za professional qualifications/work experience, kutegemea programme. �
Tanzania Commission for Universities
Kwa mfano, UDSM yenyewe inaweka 2.7 kama minimum kwa Master's, hivyo 2.3 haiingii moja kwa moja kwenye Master yao ya kawaida. �