KWANI HAO RCRUITMENT Walikuwa wanatoa ajira gani,kunyonywa damu na kutonyonya ukabaki na damu yako kipi afadhali?Yeye anasitisha ni ajira zipi anazotoa?
Kuna baadhi ya mambo yanaweza kuwa controllable lakini kuna mengine itakuwa ngumu tu hususani linapokuja suala la maslahi ya wafanyakazi. mambo kama michango ya NSSF na mengine kama hayo ni controllable lakini upunjaji wa maslahi itakuwa ngumu coz' hawa nao ni wafanyabiashara unless kama serikali i-intervene relationship kati ya employers and recruitment agencies. Nasema wa-intervene coz' wengi wao uhusiano uliopo ni kwamba employer anamlipa recruitment agency na recruitment agency ndie anajua anamlipa nini employee! So, ili waweze kutengeneza faida kubwa zaidi, wanalazimika kuwapunja wafanyakazi coz' kwa kadri wanavyowapunja zaidi ndivyo wanavyopata nyingi zaidi. Na employers huwa wanai-favor njia hii ili kujivua gharama za "other benefits" kv matibabu, likizo,n,k coz' hata kama mtu anafanya Tigo lakini anakuwa si mwajiriwa wa Tigo bali ni wa yule aliyemleta! Na kama ukizingua, employer wala hana haja ya kupoteza hata dakika moja kwako; anakurudisha tu waliokuleta na yeye ku-demand immediate replacement na legal problems zote zinakuwa kwa agent na sio kwa employer! Sasa huu uhusiano wa kuwa mfanyakazi anakuwa chini ya agent (in contrast na ile system kwamba employer anamlipa tu agent kumfanyia recruitment lakini mkataba anaingia mfanyakazi na employer) unam-favor sana employer wakati unamuumiza mfanyakazi! Na hata linapokuja suala la promotion sijui wanafanyaje manake ukienda kwenye kampuni yenye wafanyakazi wa aina mbili, kutoka kwa agent na wale employed na employer mwenyewe, basi kuna hatari favor wakawa wanapata wale wa employer mwenyewe coz' hawajibiki kwa huyu wa kuletwa!!Sidhani kama njia muafaka ilikuwa ni kuzipiga marufuku hizo recruitment agencies, bali kuhakikisha kuwa zina-operate kwa mujibu wa sheria au taratibu zilizowekwa.
Ilichotakiwa kufanya serikali ni kulinda maslahi yake pamoja na haki za wale wanaojiriwa na kufanya kazi kupitia recruitment agencies.
Kama recruitment agencies haitafuata sheria au taratibu zilizowekwa, then kuwe na enforcement actions, following by huge fines. Lazima watatii tuu.
Lazima kuwe na restrictions and responsibilities on recruitment agencies na biashara zao, but siyo kuzipiga marufuku. Funga zile ambazo zimekataa kufuata sheria na taratibu tuu.
Kama hii habari ni kweli, then this is the worst decision for the government. Pia ni ushahidi kuwa serikali inashindwa ku-regulate the emerging businesses across the country.
Siamini kama recruitment agencies is a bad business for the country kiasi cha kuzipiga marufuku. What is bad is the failure of the government to regulate these agencies.
Wadau ktk taarifa ya TBC1 Hivi punde,Waziri wa kazi bi Gaudensia Kabaka atangaza kusitisha kazi za hizi recruitment agent,safi sana sana sana Mama,sababu ni zinakosesha waajiriwa kukosa haki zao kama hifadhi za jamii,mafuzo kazini,mafao ya elimu,uzazi,mikataba mifupi na makato yasiyo kuwa na tija,yaani ni unyanyasaji tu,na mengine utakayoyaona......
Safi sana sana Wizara ya kazi...Now hata Urasimu hawa jamaa huchangia sana sana.Ni kilio cha Muda Mrefu cha Vijana.
Pia ni kinyume cha sheria ya ajira.....
Really tumefurahi sana sana.....Hongera sana sana Waziri KABAKA.
Ni pamoja na Sekretariat ya ajira?Wadau ktk taarifa ya TBC1 Hivi punde,Waziri wa kazi bi Gaudensia Kabaka atangaza kusitisha kazi za hizi recruitment agent,safi sana sana sana Mama,sababu ni zinakosesha waajiriwa kukosa haki zao kama hifadhi za jamii,mafuzo kazini,mafao ya elimu,uzazi,mikataba mifupi na makato yasiyo kuwa na tija,yaani ni unyanyasaji tu,na mengine utakayoyaona......
Safi sana sana Wizara ya kazi...Now hata Urasimu hawa jamaa huchangia sana sana.Ni kilio cha Muda Mrefu cha Vijana.
Pia ni kinyume cha sheria ya ajira.....
Really tumefurahi sana sana.....Hongera sana sana Waziri KABAKA.
Service zao ni mzuri, lakini asikuambie mtu ndugu yangu; hawa wa tanzania ni balaha na wala usiombe kuajiriwa thru these guys unless uwe umepitia tu kwa agent na sio kama wanavyofanya wengi wao kwamba hata contract, unaingia nao wao. Labda njia pekee ni kutunga sheria kwamba, Recruitment Agency abaki kuwa agent tu lakini mkataba uwe ni kati ya mfanyakazi na mwajiri. Hata hivyo, uhusiano wa aina hii employers wanaelekea hawaupendi kwa ajili ya kukwepa gharama kama vile matibabu, usafiri, ukifa usafirishwe hadi kwenu nd so on!Temp agencies siyo mbaya hata kidogo. Muhimu ni kuhakikisha zinafuata sheria.
Kutafutia kazi hapana, wao wanaletewa nafasi na clients wao kisha wana-recruit...labda sema wanarahisisha mambo sema wanabana sana....hawa jamaa wanawanyonya sana wafanyakazi.OK asante kaka kwa taarifa... Ila mm sioni umuhimu wa kufunguwa, sometimes wanasaidia sana kutafutia kazi vijana, badhii yao ndio wapo whuni ila agencies zingine wko safi sana
Wadau ktk taarifa ya TBC1 Hivi punde,Waziri wa kazi bi Gaudensia Kabaka atangaza kusitisha kazi za hizi recruitment agent,safi sana sana sana Mama,sababu ni zinakosesha waajiriwa kukosa haki zao kama hifadhi za jamii,mafuzo kazini,mafao ya elimu,uzazi,mikataba mifupi na makato yasiyo kuwa na tija,yaani ni unyanyasaji tu,na mengine utakayoyaona......
Safi sana sana Wizara ya kazi...Now hata Urasimu hawa jamaa huchangia sana sana.Ni kilio cha Muda Mrefu cha Vijana.
Pia ni kinyume cha sheria ya ajira.....
Really tumefurahi sana sana.....Hongera sana sana Waziri KABAKA.
Naona kunakuchanganya mada. Recruitment agent wanafanya kazi kusaidia waajiri kutafuta wafanyakazi kwa kuwachuja kwa kushirikiana na mwajiri. Kuna baadhi wanauza kazi na wengine kuficha cv zenye bguvu na kupeleka cv chovu za jamaa zao.
Hili ni tofauti na outsourcing ya baadhi huduma ambapo mwajiri huajiri kampuni itayompa huduma badala ya yeye kuhangaika na kada hiyo ya wafanyakazi. Mf. Walinzi. vibarua nk. Sasa hivi makampuni yanahangaika na core business na support services kama It au açcounting.security.currier zinapewa kampuni ambazo zimeundwa na kuspecialize kazi hizo. Hata www go.tz ni wakala wa ajira.
Ni pamoja na Sekretariat ya ajira?
Sidhani kama alimaanisha recruitment companies. Ila nafikiri alimaanisha outsourci ng companies. Yaani kampuni moja onachukua tender ya kufanya kazi flani kwenye kampuni nyingine. ile inayotoa tender inamlipa outsouced company hela nyingi na ile outsourced company inawalipa wafanyakazi ujira kidogo ili ibaki na faida.Wadau, serikali imepiga marufuku mawakala wa ajira baada ya watu kulalamika! What do you say? Pamoja na mambo mengine, wadau wamelalamikia tabia ya kampuni hizi kutopeleka makato ya mifuko ya jamii.
MY TAKE: Nadhani hili jambo limechelewa manake nasikia baadhi ya kampuni za uajiri ni full dhuruma. Mathalani, nasikia SPANCO, wanalipa mshahara wa sh. 270,000/ kwa customer care. Kuna wengine viwango vyao vya mishahara wala hawaangalii qualification a muhusika; provided watu wana shida ya ajira, wanajua watu watachukua chochote wapewacho.