Gov. Ndullu na Msajili Mafuru: Tunajifunza nini?

Hivi Mafuru akiwa gavana nyie mnaomponda uso mtauficha wapi?

Mkuu hakuna anayemponda Mafuru. We are simply saying ukiwa kwenye serikali....unatekeleza shughuli za hiyo serikali. Huwezi kulaumu ukiwa sehemu ya huo utawala. Uungwana ni kujiuzuru na kuendelea na maisha yako kama kawaida.

Kwamba anaweza teuliwa kuwa Gavana. All good wishes for him. Mteuaji (na mtenguaji) ndo anajua anataka vigezo gani. Kama Mafuru anavyo na JPM anaona anafaa- why not?
 
Hivi Mafuru akiwa gavana nyie mnaomponda uso mtauficha wapi?
Kwa Magufuli ni ngumu sana Mafuru kupewa ugavana,JPM anateua Ma-Profesa na Ma-Dr wakati Mafuru ndio kapata Masters mwezi uliopita
 
Tatizo kubwa la serikali ya awamu ya 5 hakuna flow of information kila mtu anaongea analofahamu,nina mashaka kama huwa wanafanya vikao .Raisi,Waziri,RC kila mtu anatoa tamko na matamko yanatofautiana
 
Nyuzi za kitalamu Lizaboni anajificha kabisa anasubiri matamko ya bavicha, nimalize kusema ukweli unauma,ukweli haubadiliki,hakuna ukweli wa zamani ,Msema kweli mpenzi wa Mungu na mchukia ukweli mpenzi wa shetani hongera ndg mafuru kwa kusubiri jukumu kubwa zaidi
 
Kwa Magufuli ni ngumu sana Mafuru kupewa ugavana,JPM anateua Ma-Profesa na Ma-Dr wakati Mafuru ndio kapata Masters mwezi uliopita

Hahahaha...mkuu umetisha...kapata masters mwezi uliopita?
 
Rule No: 1: The boss is always right.
Rule No. 2: The boss is always right
Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1.

Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine.

Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa lakini it is an open secret kwamba ni kauli yake tata iliyopingana na uamuzi wa Mh. Rais kuhakikisha kwamba hela ya walipa kodi wa Tanzania haiendi kwenye Fixed Deposit account.

Kwangu mimi niliposoma ile kauli ya Gov. Ndullu na Msajili Mafuru a week or so ago, ikipingana wazi wazi na maelekezo ya Rais, Kiukweli nilijua wamekuwa misquoted. Sikutaka kuamini kwamba kwa uelewa wa wasomi kama Prof. Ndullu na Mafuru hawakujua implications za kauli zao (contradicting the President in public). Kwa hiyo kutumbuliwa kwa Mafuru to me, it was matter of time. Ingawa Gov. Ndullu hajatumbuliwa, lakini I BELIEVE it is a matter of WHEN not IF. Wenyewe wanasema : His position is no longer tenable! He should be wise to know that.

1. WaTanzania wote tunajua kabisa JPM ameamua ku-invest mtaji wake wote wa kisiasa kwenye swala la ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma. And that's why wananchi wengi wanam-support (na wengine hawam-support). Now Kaka yangu Mafuru wewe ni nani mpaka uamue ku-challenge signature commitment ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? kwa Raia wake?? Tena asubuhi kwenye media? My brother, you got it wrong. Leo ukiuliza hata humu JF I can bet my last dollar less than 1% ya wachangiaji wanajua majukumu ya Msajili wa Hazina! Sasa hiyo legitimacy ya kum-contradict Rais umeitoa wapi??

2. Wengi hapa tusichanganye mambo. Raisi anaweza kupingwa kabisa in public kwenye sera zake au utekelezaji wa hizo sera. Indeed ndo kazi ya wapinzani bungeni akina Zitto Kabwe, Mbowe nk. Wanampinga Rais and they get paid for that. Hata humu JF tunampinga (na kumtukana) kila siku. Lakini mwajiriwa wa serikali ya Magufuli hana legitimacy kumpinga Rais. I mean Gov. Ndullu, Mafuru nk. Nyinyi ni watendaji. Mwisho wa siku atakayewajibishwa kwenye sanduku la Kura ni Magufuli na si Gov. Ndullu wala Mafuru.

3. Lesson for the future. Si kwamba kuwa na mawazo tofauti ni kosa. Lakini, as long as umeamua kuwa mtumishi kwenye serikali ya JPM. Please you either implement policies za JPM (chama chake) or jump out of the ship.

4. Ndullu na Mafuru kwa kuongea vile mlitaka wananchi wamuelewe vipi Raisi wao? One would say ni uchonganishi!

5. Hata humu JF kuna kaka zangu na wakongwe wenzangu kwenye hili jukwaa...walitumia kauli za Mafuru na Gov. Ndullu..ku-confirm kwamba JPM ni Mchumi uchwara, hana elimu ya uchumi, hashauriki, anaua uchumi, ana wivu..simply because they felt that they arguments were supported by statements za Mafuru na Gov. Ndullu.

6. Kama wewe ni mtumishi wa umma. Please, stick to what you are doing. LEAVE politics to politicians. Kuna watu wenye specialization kumkosoa Magufuli and they get paid for that-from our tax shilling. I repeat by ALL means, Gov. Ndullu na Mafuru mlikosea na mlimkosea Magufuli personally. nyinyi kama watalaam wake you should have done better.

Hivi mfano: Gov. Ndullu na Mafuru mngesema something like: "Mh. Rais ameshaliongelea hili swala la FD mara nyingi......ingawa kisheria kuweka hela FD siyo kosa, lakini, kama alivyotanabaisha Mh. Rais, watendaji wengi wakubwa serikalini wame-abuse hii process. wametumia huu mwanya kujipatia pesa kwa udanganyifu huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Ndo maana sisi kama watendaji tulio chini yake tunaunga mkono juhudi za Rais kuhakikisha kwamba hela zote za walipa kodi wa nchi hii..zinatumika kwa matumizi sahihi.....wananchi wapate value for money"...na bla blah nyingine! Doing this you would have supported the President in public while making it clear that FD account is something legal!

I hope hakuna Kiongozi mwandamizi serikalini atakayerudia makosa ya Gov. Ndullu au Mafuru.

NB: Masanja is a private citizen. Doing whatever is legal and within his means to earn a living to support his family and himself.

Masanja
Hilo halijamuuma kama lile la Mafuru kusema hakuna anayelipwa mil 40
 
AWATUMBUE TU HAWA NDIO WALIOSIMAMIA UWEKEZAJI HAFIFU, NA wamesaidia sana UDA kuuzwa kwa manyangau Simon Group alafu eti serikali na wao wana hisa sawia hivyo wakaruhusu akakopa tena fedha pale NMB
 
Nyuzi za kitalamu Lizaboni anajificha kabisa anasubiri matamko ya bavicha, nimalize kusema ukweli unauma,ukweli haubadiliki,hakuna ukweli wa zamani ,Msema kweli mpenzi wa Mungu na mchukia ukweli mpenzi wa shetani hongera ndg mafuru kwa kusubiri jukumu kubwa zaidi
Lizaboni ,Wakudadavuwa and co hawawezi changia humu,wanasubiri habari za mbowe ndio waje kwa kasi
 
Masanja,

..mimi nilivyoisikiliza ile press conference ya Mafuru nimeona kwa kiasi kikubwa alikuwa anakubaliana na hatua za Raisi.

..kwa mfano, Mafuru alikwenda mbali mpaka kueleza kwamba hata BOT wanaweza kutoa MIKOPO kwa mabenki. Hiyo yote ni ktk kutetea maamuzi ya Raisi.

..sasa napata tabu kuamini kwamba "ametumbuliwa" kwasababu ya aliyoyasema ktk press conference.

..kwa upande mwingine naona kama vile bandiko lako linahimiza watumishi wa serikali au wateule wa serikali wawe kama "kondoo."

..mimi ningeshauri wa-Tz wasikubali kutekeleza maagizo ya wanasiasa yanayokwenda kinyume na misingi ya kisheria au kitaaluma.wakikutana na mazingira kama hayo wapinge hadharani na kujiuzulu in protest.

..kuwaendekeza wanasiasa ndiyo kumesababisha nchi kuingia kwenye mikataba ya kifisadi kama iptl, richmond, uuzwaji nyumba za serikali, kuchafua uchaguzi wa znz, etc.

NB:

..kwa upande mwingine nilichukizwa na jinsi Mafuru alivyosema uongo kuhusu hisa za shirika la uda. He got what he deserved.
 
Wanasema kazi ya raisi sio kujua ni kuamua.......tatizo ni hawa watu wanafanya raisi anaonekana hafanyi maamuzi sahihi ndio tatizo.
 
So all public servants should just lie down and play dead.....
There are a thousands and plus descent ways of contending to your superior lakini siyo hiyo ya hawa walivyofanya. . . .

By the way are they politicians ?
 
Masanja,

..mimi nilivyoisikiliza ile press conference ya Mafuru nimeona kwa kiasi kikubwa alikuwa anakubaliana na hatua za Raisi.

..kwa mfano, Mafuru alikwenda mbali mpaka kueleza kwamba hata BOT wanaweza kutoa MIKOPO kwa mabenki. Hiyo yote ni ktk kutetea maamuzi ya Raisi.

..sasa napata tabu kuamini kwamba "ametumbuliwa" kwasababu ya aliyoyasema ktk press conference.

..kwa upande mwingine naona kama vile bandiko lako linahimiza watumishi wa serikali au wateule wa serikali wawe kama "kondoo."

..mimi ningeshauri wa-Tz wasikubali kutekeleza maagizo ya wanasiasa yanayokwenda kinyume na misingi ya kisheria au kitaaluma.wakikutana na mazingira kama hayo wapinge hadharani na kujiuzulu in protest.

..kuwaendekeza wanasiasa ndiyo kumesababisha nchi kuingia kwenye mikataba ya kifisadi kama iptl, richmond, uuzwaji nyumba za serikali, kuchafua uchaguzi wa znz, etc.

NB:

..kwa upande mwingine nilichukizwa na jinsi Mafuru alivyosema uongo kuhusu hisa za shirika la uda. He got what he deserved.

Mkuu sijui Kama umenisoma na kunielewa. Iam not saying kwamba watumishi WA umma wakubali kufanya madudu ilmradi tuu in watumishi wa umma. Hapana. Ninachojaribu kuongelea hapa in kitendo cha Mafuru kutoa kauli tata kinyume na mwajiri wake. Tena in public. It is is simple Kama hukubaliani na mwelekeo husika, basi kaa Pembeni. Sahihi kabisa watu wana haki ya kuonyesha kutoridhishwa na mambo fulani. Lakini lazima tuwe makini. Unafikiria Kipi kitatokea Leo CDF Mwamunyange au CI Magufuli atoe amri na jeshi likatae kwa sababu ya kutoridhishwa na mambo yanavyokwenda?

Mara ngapi Obama amewapumzisha senior military officers kwa kupingana na msimamo wake kuhusu vita vya Iraq au Afghanistan?
 
Mafuru na Ndullu ni watu wenye akili huru ya kujitegemea ndio maana hawana unafiki katika kauli zao. Ukiwa msomi mnafiki na mchumia tumbo huwezi kusema ukweli unaojua utamuudhi bosi wako. Isitoshe naamini hawa wote hawana njaa kama ulizo nazo wewe mleta mada kiasi cha kudhani kutumbuliwa kwao kutawafanya wawe maskini.
Unachokijua lakini hutaki kukisema kupitia kinywa chako ni kuwa fikra huru hizo zilitakiwa zimuongoze kutekeleza au kukacha kibarua.

Huwezi kuwa mteule halafu ukapewa agizo kufanya utekelezaji wa jambo Fulani ambalo wewe unaona halifai, Ukaacha kufanya utekelezaji wa jambo hill lakini ukafanya kosa kubwa kuendelea kubaki kwenye cheo na ofisi ulichopewa na mteuzi wako ambaye unapingana na Sera na mawazo yake.

Kwa kutumia fikra zako guru lazima utafanya Uamzi wa kuachia ngazi au kutekeleza agizo kwani tofauti na hayo utakuwa unamhujumu aliyekuteua.

Jagarld.
 
Unachokijua lakini hutaki kukisema kupitia kinywa chako ni kuwa fikra hizo huru zilitakiwa kumsaidia ktk kutekeleza au kuachana na kibarua hicho.

Huwezi kuwa mteule halafu ukapewa agizo kufanya utekelezaji wa jambo Fulani ambalo wewe unaona halifai, Ukaacha kufanya utekelezaji wa jambo hill lakini ukafanya kosa kubwa kuendelea kubaki kwenye cheo na ofisi ulichopewa na mteuzi wako ambaye unapingana na Sera na mawazo yake.

Kwa kutumia fikra zako guru lazima utafanya Uamzi wa kuachia ngazi au kutekeleza agizo kwani tofauti na hayo utakuwa unamhujumu aliyekuteua.

Jagarld.
 
Rule No: 1: The boss is always right.
Rule No. 2: The boss is always right
Rule no. 3: if you are not sure of rule no. 2, refer to rule no. 1.

Jana Mh. JPM "amemtumbua" Kaka yangu Mafuru na akatanabaisha kwamba atampangia kazi nyingine.

Sababu ya Mafuru kutumbuliwa haikutajwa lakini it is an open secret kwamba ni kauli yake tata iliyopingana na uamuzi wa Mh. Rais kuhakikisha kwamba hela ya walipa kodi wa Tanzania haiendi kwenye Fixed Deposit account.

Kwangu mimi niliposoma ile kauli ya Gov. Ndullu na Msajili Mafuru a week or so ago, ikipingana wazi wazi na maelekezo ya Rais, Kiukweli nilijua wamekuwa misquoted. Sikutaka kuamini kwamba kwa uelewa wa wasomi kama Prof. Ndullu na Mafuru hawakujua implications za kauli zao (contradicting the President in public). Kwa hiyo kutumbuliwa kwa Mafuru to me, it was matter of time. Ingawa Gov. Ndullu hajatumbuliwa, lakini I BELIEVE it is a matter of WHEN not IF. Wenyewe wanasema : His position is no longer tenable! He should be wise to know that.

1. WaTanzania wote tunajua kabisa JPM ameamua ku-invest mtaji wake wote wa kisiasa kwenye swala la ubadhirifu na ufisadi wa mali ya umma. And that's why wananchi wengi wanam-support (na wengine hawam-support). Now Kaka yangu Mafuru wewe ni nani mpaka uamue ku-challenge signature commitment ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania? kwa Raia wake?? Tena asubuhi kwenye media? My brother, you got it wrong. Leo ukiuliza hata humu JF I can bet my last dollar less than 1% ya wachangiaji wanajua majukumu ya Msajili wa Hazina! Sasa hiyo legitimacy ya kum-contradict Rais umeitoa wapi??

2. Wengi hapa tusichanganye mambo. Raisi anaweza kupingwa kabisa in public kwenye sera zake au utekelezaji wa hizo sera. Indeed ndo kazi ya wapinzani bungeni akina Zitto Kabwe, Mbowe nk. Wanampinga Rais and they get paid for that. Hata humu JF tunampinga (na kumtukana) kila siku. Lakini mwajiriwa wa serikali ya Magufuli hana legitimacy kumpinga Rais. I mean Gov. Ndullu, Mafuru nk. Nyinyi ni watendaji. Mwisho wa siku atakayewajibishwa kwenye sanduku la Kura ni Magufuli na si Gov. Ndullu wala Mafuru.

3. Lesson for the future. Si kwamba kuwa na mawazo tofauti ni kosa. Lakini, as long as umeamua kuwa mtumishi kwenye serikali ya JPM. Please you either implement policies za JPM (chama chake) or jump out of the ship.

4. Ndullu na Mafuru kwa kuongea vile mlitaka wananchi wamuelewe vipi Raisi wao? One would say ni uchonganishi!

5. Hata humu JF kuna kaka zangu na wakongwe wenzangu kwenye hili jukwaa...walitumia kauli za Mafuru na Gov. Ndullu..ku-confirm kwamba JPM ni Mchumi uchwara, hana elimu ya uchumi, hashauriki, anaua uchumi, ana wivu..simply because they felt that they arguments were supported by statements za Mafuru na Gov. Ndullu.

6. Kama wewe ni mtumishi wa umma. Please, stick to what you are doing. LEAVE politics to politicians. Kuna watu wenye specialization kumkosoa Magufuli and they get paid for that-from our tax shilling. I repeat by ALL means, Gov. Ndullu na Mafuru mlikosea na mlimkosea Magufuli personally. nyinyi kama watalaam wake you should have done better.

Hivi mfano: Gov. Ndullu na Mafuru mngesema something like: "Mh. Rais ameshaliongelea hili swala la FD mara nyingi......ingawa kisheria kuweka hela FD siyo kosa, lakini, kama alivyotanabaisha Mh. Rais, watendaji wengi wakubwa serikalini wame-abuse hii process. wametumia huu mwanya kujipatia pesa kwa udanganyifu huku huduma za jamii zikizidi kudorora. Ndo maana sisi kama watendaji tulio chini yake tunaunga mkono juhudi za Rais kuhakikisha kwamba hela zote za walipa kodi wa nchi hii..zinatumika kwa matumizi sahihi.....wananchi wapate value for money"...na bla blah nyingine! Doing this you would have supported the President in public while making it clear that FD account is something legal!

I hope hakuna Kiongozi mwandamizi serikalini atakayerudia makosa ya Gov. Ndullu au Mafuru.

NB: Masanja is a private citizen. Doing whatever is legal and within his means to earn a living to support his family and himself.

Masanja

Mkuu, kula 5
Ambae hajaelewa hapa, basi tena.

Unaposhindwa kukubaliana na sera za serikali halali iliyopo madarakani na raisi wake ambae ndiye mwajiri wako, basi uamuzi wa busara unakuwa ni kwa wewe kujiuzulu.
 
Hahahaha...mkuu umetisha...kapata masters mwezi uliopita?
mafuru.jpg
 
Nikikusoma hadi mwisho ninapata picha kwamba lazima kutakuwa na watumishi wa umma watakaouongea ukweli dhidi ya rais hata kama akiwa hapendi.
Ikiwa tu wao wanaamini wako sawa
 
Mafuru na Ndullu ni watu wenye akili huru ya kujitegemea ndio maana hawana unafiki katika kauli zao. Ukiwa msomi mnafiki na mchumia tumbo huwezi kusema ukweli unaojua utamuudhi bosi wako. Isitoshe naamini hawa wote hawana njaa kama ulizo nazo wewe mleta mada kiasi cha kudhani kutumbuliwa kwao kutawafanya wawe maskini.

Walitakiwa wajenge hoja zao ndani ya vikao vya kiutendaji wakiwa na Rais. I believe JPM is wise. Sidhani kwamba anaendesha nchi kwa ONE-MAN-SHOW. Kwahiyo walitakiwa wamueleweshe Rais kitaalamu wakiwa kwenye vikao vya ndani. Kuliko kuja public na kupayuka maneno ambayo ni kinyume na mtazamo wa Rais, you better resign.

Binafsi siungi mkono serikali kusitisha FIXED DEPOSIT FACILITY kwa fedha za serikali. I believe wanaweza kufanya CONTROL RE-DESIGN itakayoziba hiyo mianya ya rushwa iliyomchukiza Rais hadi akaamua kusitisha hiyo facility. Na hii issue wangeweza kumwelewesha RAIS na akaelewa kuliko kuja kupingana na msimamo wa RAIS in public.
 
Back
Top Bottom