Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,237
- 12,989
Nami naamini hivo huyu baba hawezi kukaa na kitu kina mkereketa atapasua tuMkuu maelezo yako hapo yamenipa mwangaza fulani hivi kuhusu sakata la mifuko ya hifadhi ya jamii na wanasiasa.. Ipo siku tutayajua zaidi yaliyofichikana.