Gossip: Rais Magufuli anaweza asimtengue Waziri Mhagama kwa sababu zake binafsi..

Mkuu maelezo yako hapo yamenipa mwangaza fulani hivi kuhusu sakata la mifuko ya hifadhi ya jamii na wanasiasa.. Ipo siku tutayajua zaidi yaliyofichikana.
Nami naamini hivo huyu baba hawezi kukaa na kitu kina mkereketa atapasua tu
 
Jenista ni Waziri aliyeshiriki kwa kiasi kikubwa kuleta ishu ya kikokotozi cha mafao ya wastaafu. Ni yeye ndiye aliyetetea na kufanya morali ya wafanyakazi ishuke hivyo kuathiri uzalishaji.

Rais Magufuli, kwa kulitambua hili, leo Desemba 28 2018, ameitisha kikao na wadau kujadiliana kisha hatimaye kutengua matumizi ya kikokotoo kipya ambacho kanuni zilieleza wastaafu watalipwa 25% ya mafao yao kisha 75% kulipwa kidogo kidogo mpaka kifo.

Jioni yake, Mkurugenzi wa SSRA, Dkt irene aliyetetea utaratibu huo mpya ameachiwa kazi. Wadau wanataka na Waziri Jenista naye awajibishwe ili kubalansisha.

Nikitazama mwenendo wa hili sakata, ni dhahiri Waziri anapaswa kuwajibika au kuwajibishwa ikibidi. Lakini, maamuzi yanabaki kwa boss wake, Rais mwenyewe. Ikimpendeza atamtengua ila akiona anafaa kuendelea na majukumu, basi atamuacha aendelee.

Kuna wambea hapa wanasema huyo ni ngumu kumtosa kwa sababu ni 'mkwe' wake. Nikauliza mkwe wake kwa nani? Wanasema ni shangazi yake na mwafulani; yule aliyepewa shavu kwa wazaramo.

Hawara? Sijui.
Sikujua kuna uzi huku unahusu huyo bibi kuondoka. Yani hata kama isingekuwa kikokotoo huyu bibi sijawahi kufahamu majukumu yake ni yapi> Nisijawahi kusikia kafanya lolote katiak wizara anayoiongoza. JPM kila siku anawaponda mawaziri wake ningefurahi kuona huyu anaondoka kwasababu hata wewe ukijiuliza anafanya nini au amewahi kufanya nini? Bungeni ndiye kiherehere kunyamazisha wabunge utafikiri yeye ndiye monitor au spika msaidizi. Huyu Bibi must Go kwa kweli naihurumia kodi yangu kama kunasehemu yake analipwa huyu ajuza.
 
Jenista ni Waziri aliyeshiriki kwa kiasi kikubwa kuleta ishu ya kikokotozi cha mafao ya wastaafu. Ni yeye ndiye aliyetetea na kufanya morali ya wafanyakazi ishuke hivyo kuathiri uzalishaji.

Rais Magufuli, kwa kulitambua hili, leo Desemba 28 2018, ameitisha kikao na wadau kujadiliana kisha hatimaye kutengua matumizi ya kikokotoo kipya ambacho kanuni zilieleza wastaafu watalipwa 25% ya mafao yao kisha 75% kulipwa kidogo kidogo mpaka kifo.

Jioni yake, Mkurugenzi wa SSRA, Dkt irene aliyetetea utaratibu huo mpya ameachiwa kazi. Wadau wanataka na Waziri Jenista naye awajibishwe ili kubalansisha.

Nikitazama mwenendo wa hili sakata, ni dhahiri Waziri anapaswa kuwajibika au kuwajibishwa ikibidi. Lakini, maamuzi yanabaki kwa boss wake, Rais mwenyewe. Ikimpendeza atamtengua ila akiona anafaa kuendelea na majukumu, basi atamuacha aendelee.

Kuna wambea hapa wanasema huyo ni ngumu kumtosa kwa sababu ni 'mkwe' wake. Nikauliza mkwe wake kwa nani? Wanasema ni shangazi yake na mwafulani; yule aliyepewa shavu kwa wazaramo.

Hawara? Sijui.
Kumbe? Basi sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joka alikuwa anapita mbele ya mukulu ambapo mukulu alikuwa kasimama na kina Jeni mha sasa Joka M alipokuwa anapita mbele yao kwa madaha mukulu akawaringishia kina Jeni Mha "'Oneni kifaa changu" Na wao kina Jeni Mha wakamjibu "Hata sisi ni mashangazi zake" wote mukulu pamoja kina Jeni Mha wakaangua kicheko sana.

Neno "Mashangazi" lilianzia hapo!
 
Jenista ni Waziri aliyeshiriki kwa kiasi kikubwa kuleta ishu ya kikokotozi cha mafao ya wastaafu. Ni yeye ndiye aliyetetea na kufanya morali ya wafanyakazi ishuke hivyo kuathiri uzalishaji.

Rais Magufuli, kwa kulitambua hili, leo Desemba 28 2018, ameitisha kikao na wadau kujadiliana kisha hatimaye kutengua matumizi ya kikokotoo kipya ambacho kanuni zilieleza wastaafu watalipwa 25% ya mafao yao kisha 75% kulipwa kidogo kidogo mpaka kifo.

Jioni yake, Mkurugenzi wa SSRA, Dkt irene aliyetetea utaratibu huo mpya ameachiwa kazi. Wadau wanataka na Waziri Jenista naye awajibishwe ili kubalansisha.

Nikitazama mwenendo wa hili sakata, ni dhahiri Waziri anapaswa kuwajibika au kuwajibishwa ikibidi. Lakini, maamuzi yanabaki kwa boss wake, Rais mwenyewe. Ikimpendeza atamtengua ila akiona anafaa kuendelea na majukumu, basi atamuacha aendelee.

Kuna wambea hapa wanasema huyo ni ngumu kumtosa kwa sababu ni 'mkwe' wake. Nikauliza mkwe wake kwa nani? Wanasema ni shangazi yake na mwafulani; yule aliyepewa shavu kwa wazaramo.

Hawara? Sijui.
Huwezi kusema nyama ya kitimoto ni haramu lakini mchuzi wake ni halali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo namuunga mkono mkulu. Hapangiwi na weye usimpangie. Unataka amchague nani sasa naye keshasema kuwa hatakaa afanye kazi na wapinzani?? Mwambie basi Mnyika au yule Padre wa Iringa ajiunge mkono naye ili aichukue hiyo nafasi na Jenista apangiwe kazi nyingine bungeni. Hivi umewahi kumuona Jenista akimtetea bungeni au unasema tu. Unaona anavyokuwa wa kwanza kuomba "Utaratibu?"
Huwezi kusema nyama ya kitimoto ni haramu lakini mchuzi wake ni halali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huyu Dada nampendea kitu kimoja, hasinzii bungeni yaani anahakikisha anakuwa macho muda wote kuwasikiliza wapinzani wasiropoke jina la rais kwenye lawama zao. She is very strict that way. Mkuu hawezi kumuondoa Dada wa kuhusu muongozo na vifungu kama dictionary
 
Back
Top Bottom