beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Jenista ni Waziri aliyeshiriki kwa kiasi kikubwa kuleta ishu ya kikokotozi cha mafao ya wastaafu. Ni yeye ndiye aliyetetea na kufanya morali ya wafanyakazi ishuke hivyo kuathiri uzalishaji.
Rais Magufuli, kwa kulitambua hili, leo Desemba 28 2018, ameitisha kikao na wadau kujadiliana kisha hatimaye kutengua matumizi ya kikokotoo kipya ambacho kanuni zilieleza wastaafu watalipwa 25% ya mafao yao kisha 75% kulipwa kidogo kidogo mpaka kifo.
Jioni yake, Mkurugenzi wa SSRA, Dkt irene aliyetetea utaratibu huo mpya ameachiwa kazi. Wadau wanataka na Waziri Jenista naye awajibishwe ili kubalansisha.
Nikitazama mwenendo wa hili sakata, ni dhahiri Waziri anapaswa kuwajibika au kuwajibishwa ikibidi. Lakini, maamuzi yanabaki kwa boss wake, Rais mwenyewe. Ikimpendeza atamtengua ila akiona anafaa kuendelea na majukumu, basi atamuacha aendelee.
Kuna wambea hapa wanasema huyo ni ngumu kumtosa kwa sababu ni 'mkwe' wake. Nikauliza mkwe wake kwa nani? Wanasema ni shangazi yake na mwafulani; yule aliyepewa shavu kwa wazaramo.
Hawara? Sijui.