Gossip: Rais Magufuli anaweza asimtengue Waziri Mhagama kwa sababu zake binafsi..

Unafikiri kwanini Osama ndiye aliyetajwa kulipua WTC na wakaacha kukutaja wewe? Au kwanini hawakumtaja Jokate, au Jenista?

It means huwezi singiziwa jambo lisilokuhusu - ukumbuke hakuna mwanamke anayeweza kuliwa halaf asimsimulie shoga yake, so ukiona Jokate anatajwa basi ujue kuna siku alisimulia jinsi alivopashiwa moto na Jizweeee.

Na pia kabla ya kuteuliwa DC maisha yake yalibadilika akawa anatembelea V8 huku akiwa na security..

Wanawake hawana siri mjomba, na hasa akikutana na mwanamme mshamba kama Jiwe -

Imagine Jiwe akiwa na Jokate huwa anatembea na lile fuko la Trilioni 1.5 alizoiba Hazina anamwonesha Jokate "heze ndo hera zango kura mtoto muzure howezi kozemareza"😅😅
Wewe umeandika upuuzi. This is just too much.
Mods Mhariri Active
 
Jenister na Angel ni marafiki wakubwa sana, Nilipata wasaha wa kuwa nao karibu mwaka 2015 kwenye kampebi wilaya ya Ilala.

Siri za Angel ni za Jenister, Na hawa wamekua wakinamama mstari wa mbele kuwa karibu na Dingii

Kifupi hata baadhi ya issue za Dingi, Jenister anazijua vyema tu.. Dingi haweZi kumtumbua Shemelaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jenista ni Waziri aliyeshiriki kwa kiasi kikubwa kuleta ishu ya kikokotozi cha mafao ya wastaafu. Ni yeye ndiye aliyetetea na kufanya morali ya wafanyakazi ishuke hivyo kuathiri uzalishaji.

Rais Magufuli, kwa kulitambua hili, leo Desemba 28 2018, ameitisha kikao na wadau kujadiliana kisha hatimaye kutengua matumizi ya kikokotoo kipya ambacho kanuni zilieleza wastaafu watalipwa 25% ya mafao yao kisha 75% kulipwa kidogo kidogo mpaka kifo.

Jioni yake, Mkurugenzi wa SSRA, Dkt irene aliyetetea utaratibu huo mpya ameachiwa kazi. Wadau wanataka na Waziri Jenista naye awajibishwe ili kubalansisha.

Nikitazama mwenendo wa hili sakata, ni dhahiri Waziri anapaswa kuwajibika au kuwajibishwa ikibidi. Lakini, maamuzi yanabaki kwa boss wake, Rais mwenyewe. Ikimpendeza atamtengua ila akiona anafaa kuendelea na majukumu, basi atamuacha aendelee.

Kuna wambea hapa wanasema huyo ni ngumu kumtosa kwa sababu ni 'mkwe' wake. Nikauliza mkwe wake kwa nani? Wanasema ni shangazi yake na mwafulani; yule aliyepewa shavu kwa wazaramo.

Hawara? Sijui.
alopima samaki kwa rula sasa bosii
 
Jenister na Angel ni marafiki wakubwa sana, Nilipata wasaha wa kuwa nao karibu mwaka 2015 kwenye kampebi wilaya ya Ilala.

Siri za Angel ni za Jenister, Na hawa wamekua wakinamama mstari wa mbele kuwa karibu na Dingii

Kifupi hata baadhi ya issue za Dingi, Jenister anazijua vyema tu.. Dingi haweZi kumtumbua Shemelaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo hawa wapo kwenye list ya wanaobebwa! Angela Hairuki, Jenister Mwambangoma, Bashite.......
 
Hapa ndipo namuunga mkono mkulu. Hapangiwi na weye usimpangie. Unataka amchague nani sasa naye keshasema kuwa hatakaa afanye kazi na wapinzani?? Mwambie basi Mnyika au yule Padre wa Iringa ajiunge mkono naye ili aichukue hiyo nafasi na Jenista apangiwe kazi nyingine bungeni. Hivi umewahi kumuona Jenista akimtetea bungeni au unasema tu. Unaona anavyokuwa wa kwanza kuomba "Utaratibu?"
Wizara anayo isimamia Mh Jenista Mhagama inaitwa "Wizara ya Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge Kazi Vijana" Ki ujumla hiyo wizara ni nyeti sana na huwezi kuona akionda jambo haliendi sawa bungeni akae kimya ata kipindi cha Jakaya alitumikia Wizara hii nakumbuka. Hivyo si kumtetea Mh Rais tu ila ata Mbunge akivunja kanuni anaweza kusimama na kuomba muongozo wa spika.

Ila ana uwezo mdogo sana wa kiutendaji
Ki ukweli huyu mama yuko vizuri sana lakini sema linapokuja suala la kuwa upande wa serikali ao kutoa hoja ambazo hatukubaliani nae! kama ulimsikia ata Rais wa Tucta alisema kuwa walishakubaliana na Mh Waziri Mhagama juu ya mafao ya mkupuo yawe 40% lakini Waziri alipoenda kukutana na wataalamu wake ambao ujue ndiyo ao SSRA wakamuambia hilo haliwezekani...! Swali la kujiuliza je Mh Rais aliposema watakao shirikia na wanasiasa wataondoka huyu Dr. Irene ni mmoja wao?

Katika mawaziri wanayofanya kazi ya kumtetea magufuli bungeni ni huyu Mhagama!!
huyu Mama labda humfahamu vizuri tu lakini hii Wizara ya Wizara ya Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge Kazi Vijana kaitumikia toka enzi za Jakaya mkuu wa nchi kipindi hiki Bunge lilikuwa live nilikua namuona sana akivyoomba muongozo pale wabunge wanapokiuka kanuni za kibunge au pale Mh Rais Jk akiposemwa vibaya.
 
Wizara anayo isimamia Mh Jenista Mhagama inaitwa "Wizara ya Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge Kazi Vijana" Ki ujumla hiyo wizara ni nyeti sana na huwezi kuona akionda jambo haliendi sawa bungeni akae kimya ata kipindi cha Jakaya alitumikia Wizara hii nakumbuka. Hivyo si kumtetea Mh Rais tu ila ata Mbunge akivunja kanuni anaweza kusimama na kuomba muongozo wa spika.

Ki ukweli huyu mama yuko vizuri sana lakini sema linapokuja suala la kuwa upande wa serikali ao kutoa hoja ambazo hatukubaliani nae! kama ulimsikia ata Rais wa Tucta alisema kuwa walishakubaliana na Mh Waziri Mhagama juu ya mafao ya mkupuo yawe 40% lakini Waziri alipoenda kukutana na wataalamu wake ambao ujue ndiyo ao SSRA wakamuambia hilo haliwezekani...! Swali la kujiuliza je Mh Rais aliposema watakao shirikia na wanasiasa wataondoka huyu Dr. Irene ni mmoja wao?

huyu Mama labda humfahamu vizuri tu lakini hii Wizara ya Wizara ya Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge Kazi Vijana kaitumikia toka enzi za Jakaya mkuu wa nchi kipindi hiki Bunge lilikuwa live nilikua namuona sana akivyoomba muongozo pale wabunge wanapokiuka kanuni za kibunge au pale Mh Rais Jk akiposemwa vibaya.
Mkuu maelezo yako hapo yamenipa mwangaza fulani hivi kuhusu sakata la mifuko ya hifadhi ya jamii na wanasiasa.. Ipo siku tutayajua zaidi yaliyofichikana.
 
Back
Top Bottom