Gorge Mwakalinga ahamia CHADEMA

Gorge Mwakalinga ahamia CHADEMA

jamani viongozi wa juu ccm itisheni mkutano wa wanachama wa dharura il;i kukinusuru chama hali ni tete chama cha babu zetu na bibi zetu chaangamia
Chama kilicholeta umaskini kwa Watanzania,huduma za kijamii mbovu,rushwa. Mwaka uu hichi chama lazma kiwe historia kama KANU.
#VoteForChanges
 
Kiongozi wa kambi ya upinzani bunge lijalo wassira
 
Hatukubali! haiwezekani wanaCCM wenzetu waondoke bure hapa kuna jambo la msingi. Akianani mpaka ifike oktoba atabaki JK.

Atabakia kinana tu maana jk ndio hivyo anaondoka zake
 
yani watu kuhamia upande wenu haimaanishi ndio ushindi au ndio kukubalika. Angalieni watu mnaowapokea kuanzia mgombea wenu wa urais ni watu wa namna gani katika jamii?. Wengi wao ni mafisadi na walioshindwa katika kura za maoni na kukimbilia kwenu.

Shida ni kwamba hao unaosema wameshindwa au kukatwa ndipo wakahama hawajatendewa hivyo kwa haki, rushwa ya fedha na vyeo ndiyo imetawala na wao wamegundua hawawezi kupata haki wakiwa ndani ya ccm, what do you want them to do?
 
ndio maana wamekataliwa ccm kwakuwa ni oil chafu nyie subiri octoba mtaona engine yenu itakavyo noki.

Kichaa chako kitapona tu mwaka huu cha kupenda ma ccm
 
Eeh, hili duka kubwa tutapata kila kitu. EL bei gani, Lembeli bei gani, Nape unaandika lakini?
 
yani watu kuhamia upande wenu haimaanishi ndio ushindi au ndio kukubalika. Angalieni watu mnaowapokea kuanzia mgombea wenu wa urais ni watu wa namna gani katika jamii?. Wengi wao ni mafisadi na walioshindwa katika kura za maoni na kukimbilia kwenu.

Kama ndio maneno yako hayo na mimi nahama CCM leo, Yani mabalozi wa nyumba 10 wanahama, nani atatusaidia kununua kadi za kupigia kura? Nani atatusaidia katika kampeni za nyumba kwa nyumba? Wenyeviti wetu wa Mikoa na Wilaya wanakimbia. Nani atatusaidia katika kukusanya watu katika malori kuwaleta katika mikutano ya Magufuli??
 
Back
Top Bottom