Dan, huyu ndugu yangu wa damu alikuwa ni CCM hasa yaani wa damu na tayari kufia CCM.......
Nimepata habari kuwa tayari kashapewa ticket ya kugombea kwa kupitia UKAWA......
Kweli mwisho wa CCM ni mwaka huu.....
Jamani chama chetu c.c.m kinaelekea wapi?
Kutoka mbeya mh George mwakalinga aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la mh Mwakyembe amehamia chadema Muda sio mrefu[/QUO
yani watu kuhamia upande wenu haimaanishi ndio ushindi au ndio kukubalika. Angalieni watu mnaowapokea kuanzia mgombea wenu wa urais ni watu wa namna gani katika jamii?. Wengi wao ni mafisadi na walioshindwa katika kura za maoni na kukimbilia kwenu.
Kutoka Mbeya, George Mwakalinga aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mwakyembe la Kyela mkoani Mbeya, amehamia CHADEMA Muda sio mrefu.

Lazima mjiulize hao wanaohama ni kwa maslahi ya wananchi au ya kibinafsi? Kumbuka wote waliohama wakiongozwa na EL wanatoa sababu za kuwa hawakutendewa haki katika kupata madaraka, hakuna aliyesema kahama ili kusaidia wananchi.
Kutoka Mbeya, George Mwakalinga aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mwakyembe la Kyela mkoani Mbeya, amehamia CHADEMA Muda sio mrefu.
njama za kuhakikisha Kyela fm inafungwa zitaizika kabisa ccm kyela .Mwakyembe alimchezea rafu mbaya sana huyu jamaa, maana hata wanachama wa CCM walikuwa wakimpinga waziwazi kabisa mh. Mwakyembe wakati wakijieleza.
Jamani chama chetu c.c.m kinaelekea wapi?
Aisee watakuja sana mwaka huu.Kutoka Mbeya, George Mwakalinga aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mwakyembe la Kyela mkoani Mbeya, amehamia CHADEMA Muda sio mrefu.