Gorge Mwakalinga ahamia CHADEMA

Gorge Mwakalinga ahamia CHADEMA

yani watu kuhamia upande wenu haimaanishi ndio ushindi au ndio kukubalika. Angalieni watu mnaowapokea kuanzia mgombea wenu wa urais ni watu wa namna gani katika jamii?. Wengi wao ni mafisadi na walioshindwa katika kura za maoni na kukimbilia kwenu.

Nenda mahakamani acha kuhukumu usijehukumiwa wewe.
 
....alishindwa na Mwakyembe ama???????

Mwakyembe alimchezea rafu mbaya sana huyu jamaa, maana hata wanachama wa CCM walikuwa wakimpinga waziwazi kabisa mh. Mwakyembe wakati wakijieleza.
 
Chama changu kinapotea daahh..inaniuma..hahaha
 
Kaazi kwelkwel
 

Attachments

  • 1439123230770.jpg
    1439123230770.jpg
    60.8 KB · Views: 628
Back
Top Bottom