Naona inakuuma sana Mwakalinga kuingia kwenye mpambano wa kweli na Nguvu ya Ukawa.
Kama vipi basi kula limao.
mapambano ya kweli yapi ya mwembeyanga nini?
Naona inakuuma sana Mwakalinga kuingia kwenye mpambano wa kweli na Nguvu ya Ukawa.
Kama vipi basi kula limao.
MASONJO Chadema sio wajinga ,wamefanya utafiti wa hali ya juu kuhusu ili.Mwanyamaki sio Mnyakyusa kwa watu wa Kyela hawezi kupata kura kule vijijini sana sana atapata Kyela mjini ,Ipinda Mjini na Kule Ikombe.Mwakyembe tayari walianza kueneza Ukabila sasa watapigwa shoko.Hiyo number kura kwenye kura za maoni ni feki.wanachama wa ccm Kyela hawafiki ata elfu 10 sasa walipiga eti watu elfu 30 waliwatoa wapi?Nilikuwepo kura za maoni kyela.kulikuwa hakuna watu kabisa kwenye vituo,je hao elfu 30 walipigia wapi hizo kura.[/QUOT
Mma sintobhile Masonjo, kunosiliko untu gwake ghulungene nakalhinga.
Jamani chama chetu c.c.m kinaelekea wapi?
Naona inakuuma sana Mwakalinga kuingia kwenye mpambano wa kweli na Nguvu ya Ukawa.
Kama vipi basi kula limao.
Hapa umejionyesha rangi yako kuwa ni Mwakyembe team.
Sasa subiri mpambano wa october. Hayo ya Chadema na Ukawa wewe hayakuhusu.
Mwakalinga kaombwa kwa nuda mrefu kuhamia Chadema na hata hao walioshinda, pia wanamtaka.
uongo utakusaidia nini mkuu ?
kura za maoni za cdm kyela zilikwishafanyika na mh mwanyamaki ( mbunge mteule ) alishinda kwa kishindo , hazitarudiwa na tumemaliza kazi , sasa mwakalinga anaingiaje kwenye ubunge ? huyu katoka ccm kutokana na fitna za mwakyembe kuhujumu kyela fm , mwakyembe alikwisha mhujumu hata kipija ili afukuzwe umeya , anafahamika vizuri sana , sasa unapokuwa mwongo uwe na kumbukumbu , mimi nimewekeza kwenye siasa za kyela wanajf ni mashahidi , sikurupuki .Kama huyajui hayo subiri utakuja kujua siku Chadema wanatangaza wagombea ubunge,vuta muda.
inaelekea kuzimuJamani chama chetu c.c.m kinaelekea wapi?
Mh. Nape na Comrade Kinana mtufafanulie, huyo ni kapi ama alikuwa na kadi feki?
MASONJO Chadema sio wajinga ,wamefanya utafiti wa hali ya juu kuhusu ili.Mwanyamaki sio Mnyakyusa kwa watu wa Kyela hawezi kupata kura kule vijijini sana sana atapata Kyela mjini ,Ipinda Mjini na Kule Ikombe.Mwakyembe tayari walianza kueneza Ukabila sasa watapigwa shoko.Hiyo number kura kwenye kura za maoni ni feki.wanachama wa ccm Kyela hawafiki ata elfu 10 sasa walipiga eti watu elfu 30 waliwatoa wapi?Nilikuwepo kura za maoni kyela.kulikuwa hakuna watu kabisa kwenye vituo,je hao elfu 30 walipigia wapi hizo kura.[/QUOT
Mma sintobhile Masonjo, kunosiliko untu gwake ghulungene nakalhinga.
Acha uongo wewe idadi ya wana ccm kyela ni zaidi ya elfu 30 ukijidangaya kuwa ccm inawanachama elfu 10 umepotea mazima
Nasikitika kwa hawa kuama chama/vyama baada ya kumwagwa upande mmoja, kwanini wasihame mapema? Mpaka wamwagwe? Ama hakika hawa ni wasaka tonge.
Endelea kusikitika lakini unapaswa kujua siasa ni nafasi ikipatikana inatumika
kura za maoni za cdm kyela zilikwishafanyika na mh mwanyamaki ( mbunge mteule ) alishinda kwa kishindo , hazitarudiwa na tumemaliza kazi , sasa mwakalinga anaingiaje kwenye ubunge ? huyu katoka ccm kutokana na fitna za mwakyembe kuhujumu kyela fm , mwakyembe alikwisha mhujumu hata kipija ili afukuzwe umeya , anafahamika vizuri sana , sasa unapokuwa mwongo uwe na kumbukumbu , mimi nimewekeza kwenye siasa za kyela wanajf ni mashahidi , sikurupuki .
Kimkakati naona kuna baadhi ya majimbo ukawa watapita bila kupingwa
Jamani chama chetu c.c.m kinaelekea wapi?