NapigaNgumi
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 529
- 209
Bao la mkono mwisho bafuni
mgalala au punyeto. nape ndio alimaanisha hivyo?
Bao la mkono mwisho bafuni
jamani viongozi wa juu ccm itisheni mkutano wa wanachama wa dharura il;i kukinusuru chama hali ni tete chama cha babu zetu na bibi zetu chaangamia
Bao la mkono mwisho bafuni
Lazima mjiulize hao wanaohama ni kwa maslahi ya wananchi au ya kibinafsi? Kumbuka wote waliohama wakiongozwa na EL wanatoa sababu za kuwa hawakutendewa haki katika kupata madaraka, hakuna aliyesema kahama ili kusaidia wananchi.
Redio vp imefunguliwa?
Mwakyembe hawezi kukwepa kwenda benchi!
duh kwahiyo kila mwanachama akihama ni breaking news na lazima iletwe jf!!! basi kazi
Kutoka Mbeya, George Mwakalinga aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mwakyembe la Kyela mkoani Mbeya, amehamia CHADEMA Muda sio mrefu.
Kinaelekea kufaa
Dan, huyu ndugu yangu wa damu alikuwa ni CCM hasa yaani wa damu na tayari kufia CCM.......
Nimepata habari kuwa tayari kashapewa ticket ya kugombea kwa kupitia UKAWA......
Kweli mwisho wa CCM ni mwaka huu.....
Wamejawa na kiburi dharau majivuno Mungu kaamua kukaza shingo zao hawawezi tena geuka nyuma.
Nenda mahakamani acha kuhukumu usijehukumiwa wewe.