Gorge Mwakalinga ahamia CHADEMA

Gorge Mwakalinga ahamia CHADEMA

kuna siku huyu mzee nilikaa naye dah nikawaza kwa nn yupo ccm ilihali ni mwanamabadiliko ndio haya yanayotokea sasa....kahama UKAWA ni mpango wa Mungu ila nahic biashara zake watazifitini
 
mapambano ya kweli yapi ya mwembeyanga nini?

Kanone naona inakuuma lowasa kuwa rais maana ahadi yako ya kupewa ajira na makomeo ndio imekwisha ota mbawa,pole sana
 
Ndio maana nakwambia japo upo ground Chadema Kyela wenzako wanadeal na makao makuu Dar es Salaam, jina la mgombea ubunge wa Chadema Kyela litakalotolewa na Kamati Kuu ya Chadema ni la George Mwakalinga, mwenzetu kaishaongea vizuri na wenye chama,sikuhizi ugombea Chadema unauzwa tu, mwenye pesa nyingi anapewa tu.

Pole sana kwa kuendelea kubakia utumwani ccm
 
Huyo ni kapi alishindwa na mwakyembe kwenye kura ya maoni kwa tofauti kubwa Mwakyembe alipata kura 15516 na huyo ----- alipata kura 4905 kaona akimbilie chadema akasake huruma ya mbowe

Sasa ndiyo mungu keshamuonyesha njia ya jinsi ya kupata kilicho bora cdm
 
kura za maoni za cdm kyela zilikwishafanyika na mh mwanyamaki ( mbunge mteule ) alishinda kwa kishindo , hazitarudiwa na tumemaliza kazi , sasa mwakalinga anaingiaje kwenye ubunge ? huyu katoka ccm kutokana na fitna za mwakyembe kuhujumu kyela fm , mwakyembe alikwisha mhujumu hata kipija ili afukuzwe umeya , anafahamika vizuri sana , sasa unapokuwa mwongo uwe na kumbukumbu , mimi nimewekeza kwenye siasa za kyela wanajf ni mashahidi , sikurupuki .

Mkuu huyo anakaribishwa sana cdm na wafuasi wake waliompigia kura alipokuwa ccm
 
Back
Top Bottom