Habari wana JF,
Kampuni inayojitambulisha kama GooglePesa Platform iliyojikita jijini Arusha na kuendesha biashara ya utapeli kupitia mtandao (
www.googlepesaplatform.com).
Kampuni hiyo ina muundo sambamba na iliyokuwa Kampuni ya Kalynda.
Wanatumia website na application yao iliyopo playstore.
TCRA na vyombo vya Usalama viingilie kati kabla wananchi hawajalizwa.