Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

Asante unapokua unanunua simu mfano ukatizam specs zake via gsmarena . Wanaitaja vipi au inaandikwa vipi na kipengele kinakufanya kulibaini hili
Hiyo apo
IMG_20191030_101112.jpeg
 
Mnaonaje mkacha kubishana na wote mkanunua simu mnayoitaka?

Maana kila mtu anavutia upande wake ili aonekane yeye anajua zaidi au anatumia kitu kizuri zaidi

Hebu nunueni canon kwa wapenda picha then simu tumieni yoyote ile

simu kazi yake sio UPIGAJI PICHA kazi yake ni kuwasiliana,hizo fatures zingine kama camera mmeekewa tu

kama options ila msitake sasa Canon na wao waseme camera yao ina uwezo wa kupiga simu

sijui mtaenda nunua hizo simu zenu au mtafata camera ya canon yenye uwezo wa kupiga simu...

Ridhikeni ebu na acheni vi macho kodo simu zinatoka kla leo

mtatumia simu ngapi sasa kama kila simu mnaitoa kasoro kasoro
 
Ebu angalia hapa inavyoonekana
IMG_20191030_093713.jpeg
 
Huwezi kutembea na camera kila sehem unayoenda, camera tuziachie kwenye matukio maalum.
 
Ni uwezo wa simu kurefresh kila baada ya sekunde 90 yaani screen inakuwa na speed wakati wa kuperuzi/scrolling ama wakati unafanya chochote kile

Kaka waweza nitajia vigezo vya kujua ubora wa camera ni vip

Na mpaka camera inakuwa bora vitu gani muhimu vinavosababisha camera ya simu kuwa bora je ni megapixels kuwa nyingi au nini nisaidie kwa ilo mkuu
 
Sensor size na pixel size
Wataalam wanasema standard pixel size ni 12mp as si kwamba ukubwa wa pixels ndio ubora wa picha ila sensor size ni muhimu sana

Aperture -hili ni tundu kwenye camera linaloruhusu mwanga kupenya. Hivyo basi mfano unataka kupiga picha usiku unatakiwa uwe na smu yenye aperture kubwa ila kuruhusu mwanga mwingi zaidi... Hii inawakilishwa na herufi 'f' mfano f/1.4, f/2, f/2.8, /f4, f/5.6, f/8, f/11, f/16, f/22, or f/3. Udogo wa f ndio camera inakuwa na uwezo mkubwa wa kuruhusu mwanga ndani.
..iPhone X ina ƒ/1.8 aperture kwenye wide-angle lens na ƒ/2.4 aperture kwenye telephoto.
...iPhone 8 Plus ina ƒ/1.8 aperture kwenye wide-angle lens na ƒ/2.8 aperture kwenye telephoto.
...LG’s V30 ina f/1.6 rating.
.....Samsung Galaxy S9 ina Dual Aperture ambayo inakuruhusu kuchagua kati ya f/2.4 na f/1.5. n.k

Sifa nyingine ni True Tone Flash, Backside Illumination Sensor na Optical Image Stabilization. Ila usisahau kuwa sifa kubwa ni uwezo wa mpiga picha mwenyewe.
 
hahah una chuki sana na pixel umeona bora Lg kuliko utolee mfano google

Hahahahhahahahha si chuki mkuu nimempa mifano tu ambayo itampa mwanga... Ila we all know iphone na pixel are much far better kwenye camera
 
[emoji28][emoji28]poa mzee pamojaa

Asante mkuu kwa elimu ulonipatia nimejifunza kitu[emoji120]
 
Bro wewe ndiyo huijui hiyo simu, kwanza inauzwa bei sana, na hawazizalishi nyingi kwa sababu ya kupunguza upinzani na wateja wao wa apps za google,, ni ngumu kuipata hiyo simu, na ukiipata umewin
Kwa game ilipofikia sasa,ukifeli kwenye design umefeli vyote.huyu anaiga apple design zake,kosa kubwa.

Ona pamoja na kutoa simu yenye camera kali,watu ni kama hawaijui mpka alipoibukia huawei huko alikotoka ndio tunamfahamu kama mwisho wao.
 
Bro wewe ndiyo huijui hiyo simu, kwanza inauzwa bei sana, na hawazizalishi nyingi kwa sababu ya kupunguza upinzani na wateja wao wa apps za google,, ni ngumu kuipata hiyo simu, na ukiipata umewin
[emoji16][emoji16][emoji16]siijui vip! wewe umaijulia wapi?.

unadhani ni kwanini pamoja na kwamba ndio simu inayomilikiwa na mmliki wa android lakini imeshindwa kuteka soko la mauzo android??

apple ndio mmiliki wa ios na mtengenezaji wa vifaa vyake unajua balaa lake,sasa huyu anafeli wapi?ujinga mdogomdogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom