Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

Eti google pixel ndio mtu wa kwanza kuleta astrophotography? wewe jamaa haupo serious au hilo jina linakuchanganya. Hiyo astrophotography ipo kwenye huawei p30 pro na mate 30 pro. Kwenye p30 pro ilikuja baada ya kuupdate while kwenye mate 30 pro imetoka na simu. Hizo simu zote zimetoka kabla ya pixel 4.

Kuhusu night sight sijui ni nani muanzilishi lakini ukweli unabaki kwamba hakuna simu inayopiga picha vzr kwenye low light kama huawei hayupo. Tumeshuhudia huawei p30 pro ikiwa inapiga picha kwenye total darkness video zipo youtube.

Design engineer wao sijui walimuokota wapi, simu zao zina design mbovu kishenzi yani wameshindwa hata kumuangalia samsung au huawei.

Kuhusu kamera kwa sasa huawei mate 30 pro ndo camera king mjini. Tunasubiri deep fusion ya iphone tuone naye atakuja na nini.

Mimi kama namshauri mtu anunue device ya pixel basi nitamshauri anunue pixel 3a au 3a xl. Ila kama anafikiria kununia pixel 4 basi ni bora akanunue iphone 11 tu. Kwanza Iphone 11 bei yake ni ndogo af ina camera kali kuliko hata hiyo pixel 4.
Hiyo P30 pro nimeielewa sana Mkuu,bei zake zimefika kiasi gani?
 
G/pixels mnyama hiyo ni kwa wanaojua tuu

For now it's lagging behind competition

A wide angle camera is a must in 2019

Nina imani in 2020 itatoka pixel 5 which will be the best in the industry.

I stand to be corrected
 
uko sawa

Natumia simu za google toka enzi za Nexus under Motorola hadi google pixel. Ni simu nzuri kwa muonekano tu but very unreliable.

Pixel zinafahamika kwa matatizo ya operating system you wouldn't even think google owns android. Leo hii naandika hapa pixel yangu imekufa ghafla tu na there's nothing they can do to fix it, haisomi sim card wakati sim card ipo ndani wanasema ni tatizo la motherboard. Pixel nyingine operating system yake inacrash kila sekunde, nilimpa mtu bongo alijaribu kila kitu hadi kuflash to a custom ROM to no avail. Apparently, pixels are known to have all kinda issues, you can read the reviews online for yourselves.

Ushauri, usinunue pixels kama hutaki headache za simu.
 
apple ndio maana anamuheshimu samsungu tu,kwamba pamoja na kwamba hatumii custom android but still anampa changamoto kwenye mambo mengi.

haya ma pixel ni ududu tu,ni kama wamekuja kutalii beach.
 
Hii simu ina piga picha nzurii balaaa... Sijajua mapungufu yake mengine

hao wanaoponda ujuaji mwingi

Sijui hata nianzie wapi kuwaambia matatizo ya pixels. Nimetumia pixels kuliko toleo lolote lile, toka enzi za google nexus. Jana nimeachana na pixels rasmi na kurudi kwenye real phones sio hizi za majaribio. Kwa matatizo ya OS ya pixels mtu unaweza usiamini kwamba google inamiliki android na pixels ni simu za google wenyewe.

OS ya pixels inacrash karibu kila dakika, haiwezi pita siku bila UI kucrash. Network reception yake ni mbovu kuliko simu yoyote ile, unaweza kuwa sehemu pixel isishike lakini simu nyingine kwa mtandao huo huo inashika.

UI yake ni very dull ka simu maalum kwaajili ya watoto. Speaker zake zina sauti ya chini sana hivyo ni ngumu kusikia hasa kwa watu wazima au watu wenye matatizo ya kusikia.

Sitaenda kwenye comparison of specs with other flagship phones maana huko pixels haifiki kabisa. From the display, memory, sasa Samsung wanatoa simu with 1TB storage wakati pixel bado kabaki on 128GB max. One plus 7 pro is way better than pixel 4 let alone One plus McLaren. And 1+ are way cheaper

However, pixels have a great camera and so is the iPhone and Samsung, but the latter offers you more than just the camera and they almost never crash.

Pixel yangu hii ya mwiso kuitumia jana.

20191209_181842.jpg

The next driver S10+

IMG_20191209_182018.jpg
 
unaona sasa shida yako mzee ulikua unatumia original pixels hadi leo hii, mwenyewe nimetumia from nexus 5 , 6p na nikaingia og pixel xl, nikaingia 2 xl , sahivi na 3 , sasa mimi miaka yote hii sijawahi kukumbana na adha yoyote na nishadevelop brand loyalty kwa google, kwanza og pixel sahivi hazipokei tena security patch, af hizo pia zilikua na matatizo machache maana ndio simu zao google wametengeneza wenyewe unlike nexus walikua wana out-source, nunua 2 xl au 3 xl au 4 then uone kama kuna hizo shida , sijui kuhusu wewe ila mimi na nyumba yangu tutaendelea na google pixels miaka nenda rudi

View attachment 1287315

The next driver S10+

View attachment 1287316
 
Natumia simu za google toka enzi za Nexus under Motorola hadi google pixel. Ni simu nzuri kwa muonekano tu but very unreliable.

Pixel zinafahamika kwa matatizo ya operating system you wouldn't even think google owns android. Leo hii naandika hapa pixel yangu imekufa ghafla tu na there's nothing they can do to fix it, haisomi sim card wakati sim card ipo ndani wanasema ni tatizo la motherboard. Pixel nyingine operating system yake inacrash kila sekunde, nilimpa mtu bongo alijaribu kila kitu hadi kuflash to a custom ROM to no avail. Apparently, pixels are known to have all kinda issues, you can read the reviews online for yourselves.

Ushauri, usinunue pixels kama hutaki headache za simu.
Tablet za Google ni uchafu mtupu.
 
unaona sasa shida yako mzee ulikua unatumia original pixels hadi leo hii, mwenyewe nimetumia from nexus 5 , 6p na nikaingia og pixel xl, nikaingia 2 xl , sahivi na 3 , sasa mimi miaka yote hii sijawahi kukumbana na adha yoyote na nishadevelop brand loyalty kwa google, kwanza og pixel sahivi hazipokei tena security patch, af hizo pia zilikua na matatizo machache maana ndio simu zao google wametengeneza wenyewe unlike nexus walikua wana out-source, nunua 2 xl au 3 xl au 4 then uone kama kuna hizo shida , sijui kuhusu wewe ila mimi na nyumba yangu tutaendelea na google pixels miaka nenda rudi

Google pixels hazina mvuto
 
Hiyo UI sasa kama daftari la mwandiko wa penseli.

Hapo ndo wanafeli kabisa. UI yao ni mbovu kuliko smartphone yoyote, apple wanajulikana kwa minimalist design ila hawa pixel wamezidi. Nadhani walitaka ziwe simu za watoto wakati wanatengeneza maana ni nyepesi hadi inaboa. Samsung mtu unaweza badilisha karibu kila kitu on the UI iwe vile unavyotaka wewe ila hali ni tofauti on pixel.
 
Wakati wenzake wakihangaika kutoa vitu vyenye msisimko.
CF8BA002-99DE-4911-B06E-6173CF960F3A-1024-000000D38B86B7E7.jpeg

SamsungView attachment 1288227
Apple

Angalia hawa wapuuzi kitu wanafanya[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1288228
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom