Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

Google Pixel phones/devices ni smartphone nzuri kushinda zote

Sijui hata nianzie wapi kuwaambia matatizo ya pixels. Nimetumia pixels kuliko toleo lolote lile, toka enzi za google nexus. Jana nimeachana na pixels rasmi na kurudi kwenye real phones sio hizi za majaribio. Kwa matatizo ya OS ya pixels mtu unaweza usiamini kwamba google inamiliki android na pixels ni simu za google wenyewe.

OS ya pixels inacrash karibu kila dakika, haiwezi pita siku bila UI kucrash. Network reception yake ni mbovu kuliko simu yoyote ile, unaweza kuwa sehemu pixel isishike lakini simu nyingine kwa mtandao huo huo inashika.

UI yake ni very dull ka simu maalum kwaajili ya watoto. Speaker zake zina sauti ya chini sana hivyo ni ngumu kusikia hasa kwa watu wazima au watu wenye matatizo ya kusikia.

Sitaenda kwenye comparison of specs with other flagship phones maana huko pixels haifiki kabisa. From the display, memory, sasa Samsung wanatoa simu with 1TB storage wakati pixel bado kabaki on 128GB max. One plus 7 pro is way better than pixel 4 let alone One plus McLaren. And 1+ are way cheaper

However, pixels have a great camera and so is the iPhone and Samsung, but the latter offers you more than just the camera and they almost never crash.

Pixel yangu hii ya mwiso kuitumia jana.

View attachment 1287315


The next driver S10+

View attachment 1287316

Mkuu
Mbna hiyo pixel ya zaman sana
Apa nina 3 xl na speakers are the best


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu
Mbna hiyo pixel ya zaman sana
Apa nina 3 xl na speakers are the best


Sent from my iPhone using JamiiForums

Nipo s10+ simu na nusu pixels sitaki kuzisikia tena.
 
Mkuu
Mbna hiyo pixel ya zaman sana
Apa nina 3 xl na speakers are the best


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimetumia OG pixel na bado haya aliyoyataja sikukutana nayo mbona
 
Nipo s10+ simu na nusu pixels sitaki kuzisikia tena.

S10 ni nzr sana, ila kwa camera na experience haigusi ata kidogo kwa pixel, kwa vingine iko poa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naomba kujuzwa bei za note 10 na s10,s10+ hz naona ndo simu zenye mvuto sio unatumia cm ina muonekano mbaya kama papai kama hayo mapixel mabaya kama nn

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kwa design wameboa, ila samsung kwa design hakamatiki, just wishing na experience yake ingekuwa the same


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usitake tuaminisha ujinga ...zaidi ya camera sijaona sifa ingine ya maana uliotaja sisi wengine sio wapiga picha kwenye simu kuna vitu tunapenda kama havipo basi ....afu maswala ya kupiga picha gizani itoke ina mwanga huoni sio uhalisia hamna tofauti na beauty camera kukutoa huna upele na wakati unao..me nataka nikipiga picha picha gizani basi ionekane ni gizani uhalisia ni muhimu hapo umefeli
 
Usitake tuaminisha ujinga ...zaidi ya camera sijaona sifa ingine ya maana uliotaja sisi wengine sio wapiga picha kwenye simu kuna vitu tunapenda kama havipo basi ....afu maswala ya kupiga picha gizani itoke ina mwanga huoni sio uhalisia hamna tofauti na beauty camera kukutoa huna upele na wakati unao..me nataka nikipiga picha picha gizani basi ionekane ni gizani uhalisia ni muhimu hapo umefeli
True hyo inakuwa na software ambazo zinaboost na kuchange situation halisi..for sure haiwezekan upige picha gizan then ww uonekane umeng'aa inakuwa haimake sense...camera ni sawa na jicho yaan kama jicho likiona giza basi giza kwel haiwezekan kuwe na giza halaf macho yaone kuna mwanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi simu nikiipenda tu inanitosha siangalii cha camera....Camera mimi kwangu inajitegemea.....napendelea kutumia camera kama device... Si camera ndani ya simu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom