Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,285
- 2,595
Samsung bado ni unbeaten...Kawaida ya simu za Pixel huwa zinakuwa rated kwa mbwembwe nyingi mtandaoni, nilikuja kugundua ni kwanini. Samsung huwa zinakuwa na tetesi nyingi kabla hazijawa released.
Ukija kwenye uhalisia, kaa miezi sita alafu tafuta resale za flagships kwenye website za nje za kuuza simu used utakuta Pixel inaongoza na imeporomoka bei.
iPhone 15 sioni kama itafanya vizuri sana ila kutegemea Pixel 8 iizidi Samsung S24 inayokuwa released February mwakani sahau.
Ukienda kwenye benchmarks unakuta iPhone zinakuwa na marks za juu kidogo na hilo halifichiki kwenye matumizi.
Nani amekwambia pixel sio camera hata performance ipo vizuri kuanzia ukaaji wa chaji, processor, music na vingine ni vile Tu mnanunuaga refurbished phones za Makumbusho.Samsung bado ni unbeaten...
Hao Pixel ukitoa part ya camera, kwingineko ni majanga tuu...
The most user friendly phone ni Samsung tuu..
Kwenye upande wa ukaaji wa chaji nadhani inategemea na uwezo wa betri kabla ya kujua umenuna Makumbusho.Nani amekwambia pixel sio camera hata performance ipo vizuri kuanzia ukaaji wa chaji,processer,music na vingine ni vile Tu mnanunuaga refurbished phones za makumbusho
Sasa Pixel 4a 5G ina Qualcomm Snapdragon 765G tena ni Mid-range Gaming processor afu unalinganishaje na Tecno yenye MTK Chip ambayo perfomance yake ni ndogo na hata ulaji wa chaji ni mdogo..Kwenye upande wa ukaaji wa chaji nadhan inategemea na uwezo wa betri kabla ya kujua umenuna makumbusho.
Mfano mm natumia pixel 4a 5G betri yake n 3800+ ambayo kwa kawaida kama unatumia simu sana bc haikutoshi, mwanzo nlkuwa natumia Tecno ina 5000 uwezo wa betri na sikuwahi kutembea na chaji.
Kumbe eeeSasa Pixel 4a 5G ina Qualcomm Snapdragon 765G tena ni Mid-range Gaming processor afu unalinganishaje na Tecno yenye MTK Chip ambayo perfomance yake ni ndogo na hata ulaji wa chaji ni mdogo..
Yes betri ndogo ya pixel ni tatizo..Kumbe eee
Lkn mwisho wa siku n kwamba hy Tecno ina betri kuwa kuliko h pixel
Tuanze kimojakimoja ulichotaja.Nani amekwambia pixel sio camera hata performance ipo vizuri kuanzia ukaaji wa chaji,processer,music na vingine ni vile Tu mnanunuaga refurbished phones za makumbusho
Samsung bado ni unbeaten...
Hao Pixel ukitoa part ya camera, kwingineko ni majanga tuu...
The most user friendly phone ni Samsung tuu..
Unafanisha tecno na pixel mzee kuwa na heshima basiKwenye upande wa ukaaji wa chaji nadhan inategemea na uwezo wa betri kabla ya kujua umenuna makumbusho.
Mfano mm natumia pixel 4a 5G betri yake n 3800+ ambayo kwa kawaida kama unatumia simu sana bc haikutoshi, mwanzo nlkuwa natumia Tecno ina 5000 uwezo wa betri na sikuwahi kutembea na chaji.
Unaandika Ukiwa ume copy na kupaste wapi watu tunatoa maon kwasababu ndo simu nazotumia Mimi Nina uhakika hata pixel 3a xl ujawahi Tumia embu ongeeni Vitu mkiwa experienceTuanze kimojakimoja ulichotaja.
1. Battery na chaji. Pixel gani inakaa na chaji? Achana na za nyuma, Pixel 6 Pro ni 5000mAh ila fast charging yake ni ya kiwendawazimu, kwa 30W charger unapata almost 50% kwa 30 mins, speed ya kawaida kabisa. Ila ukija kuijaza simu unatumia masaa karibia mawili kwa 30W charger. Test benchs karibia zote zinakuta 6 Pro inachaji kwa 22W tu. Hiyo charging speed hata midranges za Xiaomi zinaizidi mbali.
2. Processor. Kuanzia 6 Pro Google walitumia Tensor ya kwao, ni processor ya kipumbavu. Kuna sababu kwanini Samsung flagships zake hawapendi Exynos yao wanachukua Qualcomm Snapdragon. Huwezi kurupuka ukatengeneza processor ndani ya miaka mitatu eti uwazidi Qualcomm. Suala la processor achana nalo Pixel haina uwezo mkubwa, nenda kwenye test benchs uone marks zake. Apple's Bionic series na Qualcomm's SD hazina mpinzani bado.
3. Music gani Pixel iko vizuri? Ina nini kwenye muziki. Kwamba speakers zake zimetengenezwa at least na teknolojia ya Dolby au? Pixel 7 na Pro zina speaker za hovyo. Nenda kwenye sound test uone rating.
Bado kwenye reliability issues, modem ya network sio strong, ukija kwenye screen hakuna 120Hz halisi, Google wanadai eti processor inafanya optimization yenyewe kujua demand hivyo inapandisha na kushusha Hz. Kwanini reliably wasiweke option ya wewe kuchagua kwenye settings unataka 60, 90 au 120. Mwisho wa siku kwenye testing hakuna ushahidi kwamba processor ina uwezo wa kutambua vizuri uhitaji na kujioptimize, failure hiyo.
Ulishawahi kutumia flagships shindani au umetumia Pixel pekee ukashangilia. Pixel ni camera, mengineyo sio simu ya kupigia kelele. Google ni waongo na wahuni wahuni kwenye taarifa zao disclaimer kibao na kujitetea mara under room condition, under our own testing results alafu kwenye real use unakuta matokeo tofauti sana na matangazo.
Hakuna flagships zinaongoza kulalamikiwa kama za Pixel na Xiaomi. Hakuna flagships zinarudishwa au kuuzwa mtumba miezi michache ya kununuliwa kama za Pixel. Na bei inaporomoka, na wazungu nao wananunua refurbished?