Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

Kwa mujibu wa Dxomark,Pixel 7 pro ndo Simu yenye camera Kali Kwa sasa. Ipo namba moja imeipiku hadi iPhone 14 pro.
 
Attachments

  • IMG_20221013_213939.jpg
    IMG_20221013_213939.jpg
    211.7 KB · Views: 59
  • IMG_20221013_214025.jpg
    IMG_20221013_214025.jpg
    201.6 KB · Views: 56
Full box 750 k mpaka 800k
used 700k kitu kama hicho

kama una budget ndogo unaweza kuchukua pixel 4 xl used ni 500k mpya 650 k hii nayo ni hatari tabu iko pale pale
Seller gan hapa tz anazo mpya kuanzia 3a
,3xl na 3a XL na 4a
 
Izi simu nishakuwa addicted nazo nazipenda japo nipo 3a ila nafanya mpango ya kuchukua 6 pro mwaka ukigeuka itakuwa ishapungua makali kweny bei....kuanzia display yaani kioo kipo poa nimetumia hii mwaka sasa ukinipa simu nyingine hta iphone kweny kioo naona nyeupe sana kama inaumiza macho yaani nishazoea afadhali samsungu izi simu ni balaa mno
3a ukichukua bei gan ndugu
 
Nimekuelewa sana simu nyingi wanajaza ma RAM na Camera nzuri ila zina efficiency ndogo lakini si kwa google pixel, vitu vikubwa nimependa kwenye pixel over iphone

1. Camera quality (sio night sio day)
2. Battery performance
3. Fast Processing
4. Rangi ya display (friendly kwa macho)
5. Flexibility
Huo mchezo wa ram na camera wanaupenda sana xiaomi
 
Hzo simu naziuza boss , primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei , brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi , Ila efficiency still ni changamoto , iPhone simu zao ni quality Sana ,mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni
Kwani pixel na iphone yupi ana negapixel nyingi?
 
Nimekuelewa sana simu nyingi wanajaza ma RAM na Camera nzuri ila zina efficiency ndogo lakini si kwa google pixel, vitu vikubwa nimependa kwenye pixel over iphone

1. Camera quality (sio night sio day)
2. Battery performance
3. Fast Processing
4. Rangi ya display (friendly kwa macho)
5. Flexibility
Usisahau OS.
Google pixel is the smartest smartphone
 
Hzo simu naziuza boss , primary situmii cause kila nayoshika naipiga bei , brand zingine ni kujaza megapixel kwenye Camera na Ram nyingi , Ila efficiency still ni changamoto , iPhone simu zao ni quality Sana ,mnyonge mnyongeni Ila haki yake mpeni
Vita ya iPhone na Androids uwa haiishi.. 🤣🤣
 
Back
Top Bottom