Google pixel 5a 5g

Labda nipige chini hii Note 10 plus nipande juu yake iwe samsung lakin sio kumiliki Google pixel

Now Nina miliki Samsung note 10 plus and A52 nlianza na A52 ndo nkaongeza Note 10 Plus samsung Nina mahaba nao aisee upande wa simu
Test ladha zote tu sio mbaya, mi nimezinguka karibu kote saiz nina oppo ila next nitachukua pixel kabla sijarud tena Samsung...

Sema Samsung vioo vyake pasua kichwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo miguu yenye kanda mbili ndio wewe ambae kila mwezi unabadili simu mpya
 
Labda nipige chini hii Note 10 plus nipande juu yake iwe samsung lakin sio kumiliki Google pixel

Now Nina miliki Samsung note 10 plus and A52 nlianza na A52 ndo nkaongeza Note 10 Plus samsung Nina mahaba nao aisee upande wa simu
hizo note,perfomance yake ninyoko
 
Kwa mujibu wa Dxomark,Pixel 7 pro ndo Simu yenye camera Kali Kwa sasa. Ipo namba moja imeipiku hadi iPhone 14 pro.
yes inaipita iphone ila simu ya kwanza ni s22 samsung camera yake ni nomaaaa
 
Nakumbuka zaman nilikuwa na mawazo kama ya mleta mada, ila baada ya kupata hela na kununua iphone Xr kipind kile ndio nikajua kumbe umaskin unaleta chuki..
iphone hatari mzee kama 14 aisee....
 
Asee, tumsaidie na kijana mwezetu apate 1.5M anunue hata 11 Pro ajionee tofaut ya Simu na calculator yake ya google pixel
kama simu unayotumia haina hizi processor, wewe bado kidogo ongeza nguvu ya pesa upate simu nzuri...google pixel bado sana kwa iphone
 

Hardware wanazingua nini??
 
Hivi huvuti bangi kweli ni kipi hapo kilicho mzidi note 10 plus sana sana naona note 10 plus ndio iko juu kwa kila kitu hapo
nimeanza kupata wasi wasi na hiyo simu ya google imeishindwa note 10 itaiweza simu yenye bionic 16 ? tuwe wakweli jamani....
 
Hiyo miguu yenye kanda mbili ndio wewe ambae kila mwezi unabadili simu mpya
umeshindwa battle Nini mkuu Kwahiyo mikono ilio shika simu na miguu ya huyo jamaa unaona vinaendana sio[emoji2][emoji3]
 
Test ladha zote tu sio mbaya, mi nimezinguka karibu kote saiz nina oppo ila next nitachukua pixel kabla sijarud tena Samsung...

Sema Samsung vioo vyake pasua kichwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye vioo nakubaliana na ww kaka, Lakini performance ya note series kuilinganisha na hzo Google pixel n kuivunjia heshima samsung aisee tusivutie kwa sababu n simu naitumia but samsung n habar nyingine aisee tusiilinganishe na Google pixel
 
Sababu kuu ya huu uzi kufikisha post zaidi ya 250+ ni kukosekana kwa wataalam wa hizi mambo. Hii tabia ya kusifiasifikia kitu kwa kuwa tu umenunua bila kunua ubora ni mbaya sana.
Ndugu zangu Chief-Mkwawa na reyzzap kuna watu wanatamba hapa jukwaani na mnawaacha wanalisha watu matango pori, eti wanafananisha iphone na smartphone za kawaida.
 
kwanini wewe unatumia simu gani? na nini kikubwa unakiona kwenye iphone kilichowazidi wengine? unajua wengi mnasikia tu iphone ila hamjui hata ni nini?
 
Iphone users bana [emoji2][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…