Google pixel 5a 5g

Google pixel 5a 5g

Mwisho wa siku wee tumia hizo mi ntatumia pixel nishatumia iphone 11 nimeshika na 21 ultra kidogo lakini kwangu bado pixel ni simu nzuri, naitumia vilivyo kutangaza product zangu kwa picha kali, superb video making and editing (kama movie), Battery life makes my life easier, refresh rate, storage etc in short nahisi naitumia sana pixel kuliko iphone, so this makes pixel perfect to me

Hapo sasa umenena kila mtu atumie achaona kinafaa kwenye mikono yake hapo kwenye video hakuna mbabe kumzidi iphone nakukumbusha tu kipindi cha corona mtv waliandaa show ya lockdown wasanii wote wali record video nakuwatumia alafu mtv mama wazirushe ndugu kama uliona ile video ya diamond na burnboy zilivyo kuwa na best quality kinoma noma basi zilirecord na iphone 12 pro max ipo hivyo pixel nimbabe wa shoot samsung ni zoom iphone ni video na shoot zakupendezesha subject bila kuedit ndomaana masister duu/ ma brother duu, wauza nguo,simu nk wanazipenda nikupiga na kupost bila kuedit, pia ni brand pixel 5 imetoka sawa na iphone 12 pro ila leo iphone bado ipo 220000 dukani hii bei unapata pixel 7 pro na saa ya pixel bure kama kifungashio kila mtu abaki aamini simu yake
 
Duuh ukizoom in hizo picha zina ukungu siwezi kukucheka kwa sababu ni natumia itel smartphone

Shekhe samahani wewe unatumia itel sawa ila jaribu kutafuta anaetumia pixel 3/3a/3xl/4/5 wapige picha mbili moja wapige kawaida nyingine zoom mpaka mwisho tuone uwezo wake wakuzoom mbali tena itoke clear kama unavyotaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Natumia ka Samsung changu S10 nimeridhika nako na wala sitaki battle ground [emoji3]

Shekhe unasimu kali kuzidi pixel 5a una display kali kinomanoma kitu 4K design kali kinoma kila kitu upo juu hapo tafuta mdau akuwekee GCAM APP full setting hakuna mtu atakungusa
 
Kumbe na wewe umeona mzee zina ukungu hizo picha

Hizo picha hatukupia ubora wa canera tulipima uwezo wa telephoto kwamkazi wa dar anaweza elewa umbali uliovutwa hapo nikama mita 350 au 500 nimetoa home work chukueni simu zenu fanye mmeshindwa kuna jamaa kaja na infinix zero kaonesha uwezo japo picha ilikuwa imepauka ila kavuta kama mita 400 hivi ila pixel mmeshindwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnabaki kusema ukungu ungungu kwanzia lini umeona picha za kuzoom zinakuwa clear bila kutumia telephoto lens[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo taifa utaona wapiga picha wamechomeka ma lens marefu kama fimbo yale ndo yanaitwa telephoto lens kutoa bila yambali kuwa karibu bila ukungu wowote msipende story za kwenye kahawa ndugu zangu kama una bajet kubwa unapenda kucheza games kwenye simu kupiga picha za kuzoom shoot zakawaida tafuta samsung 21/22 utlra kama huna mambo mengi ila utatafuta simu zuri kali kimbilia iphone 13 pro/14 pro ila kama bajet yako yakawaida kimbili pixel 6 pro / 7 pro ukichukua 7 pro google wanakupa smartwatch kama kifungashio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kiufupi kama una samsung note 10 plus na note 20 S20 utlra ukipata Gcam full settings shekhe lamda pixel 7/7pro ndowanaweza kukutishia kiufipi uchawi wa pixel upo hapa tu
Kumbe umeafiki mkuu pixel kwenye camera ni balaaa[emoji3][emoji3]
 
Hizo picha hatukupia ubora wa canera tulipima uwezo wa telephoto kwamkazi wa dar anaweza elewa umbali uliovutwa hapo nikama mita 350 au 500 nimetoa home work chukueni simu zenu fanye mmeshindwa kuna jamaa kaja na infinix zero kaonesha uwezo japo picha ilikuwa imepauka ila kavuta kama mita 400 hivi ila pixel mmeshindwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnabaki kusema ukungu ungungu kwanzia lini umeona picha za kuzoom zinakuwa clear bila kutumia telephoto lens[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo taifa utaona wapiga picha wamechomeka ma lens marefu kama fimbo yale ndo yanaitwa telephoto lens kutoa bila yambali kuwa karibu bila ukungu wowote msipende story za kwenye kahawa ndugu zangu kama una bajet kubwa unapenda kucheza games kwenye simu kupiga picha za kuzoom shoot zakawaida tafuta samsung 21/22 utlra kama huna mambo mengi ila utatafuta simu zuri kali kimbilia iphone 13 pro/14 pro ila kama bajet yako yakawaida kimbili pixel 6 pro / 7 pro ukichukua 7 pro google wanakupa smartwatch kama kifungashio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unataka tuzoom haya kwanzia mita ngapi unataka
 
No. nilipo simama na hilo jengo lilipo ukifuata barabara ni umbali wa 2.8 km lakini ukinyoosha unapata kama 1.9 km
Screenshot_20221023-114431.jpg
 
Shekhe kuwa kama professional sasa huwezi kupima ubora wa camera zasimu kwa subject mbili tofauti ila tunaweza kupima ubora wa telephoto bila shida
Elimu shida mkuu.

Madhara ya elimu za bure.

Mtu anajipigia picha anatuma anataka kufananisha na picha ingine tofauti kabisa.
 
Elimu ya nani inatatizo yangu au yako? You can tell quality ya picha kwa tazama Resolution, Sharpness, contrast, na clarity haijalishi umepiga na simu gani au subject gani kilaza wewe
 
Mwisho wa siku wee tumia hizo mi ntatumia pixel nishatumia iphone 11 nimeshika na 21 ultra kidogo lakini kwangu bado pixel ni simu nzuri, naitumia vilivyo kutangaza product zangu kwa picha kali, superb video making and editing (kama movie), Battery life makes my life easier, refresh rate, storage etc in short nahisi naitumia sana pixel kuliko iphone, so this makes pixel perfect to me
Mkuu unatumia pixel ipi na ulinunua bei gani ?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Pixel zisemwe za nyuma Ila kuanzia 6 na kuendelea ile ni pure samsung flagship yenye software inayoendana na hardware
Kwa lugha rahsi tunaweza ziita samsung galaxy note line kutoka google
Tusichanganye videography na photography upande wa picha pixel wanaupiga mwing ase
Ukwel useme 14 pro kwa 7pro hatoboi
Pia kuna xiaomi 12s ultra (ina picha zake wa iphone mtazipiga 2024)
 
Back
Top Bottom