Google imetoa update Muhimu kwa Watumiaji wa Gmail

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,349
Reaction score
2,757


Google imetoa update mpya upande wa Gmail Ina msaada mkubwa sana kwa watumiaji wa Gmail👋.

Kuanzia sasa Ukipokea verification code kwenye Gmail, huhitaji tena kufungua email na kuanza ku-select namba moja moja. 😮‍💨



Gmail sasa inaonyesha “Copy code” — bonyeza tu, code ina-copy moja kwa moja 📋⚡ kisha unaipaste kwenye app au website inayotaka Kuthibitisha huo msimbo kupitia simu yako.

Kumbuka 🔐 Inapatikana wapi?
Android: Gmail version 2026.09.07.x
iPhone: Gmail 6.0.260907
Gmail Web/PC: bado haijaonekana.



⏱️ Sekunde chache tu zinaweza kukuokoa usumbufu mwingi! Feature hii inakuja kwenye Android na iPhone kwa hatua.

🔥 Wewe umeanza kuiona kwenye Gmail yako? Tuambie kwenye comments!
 
Asante kwa taarifa
Hata hivyo mimi sijaiona
 
Ila wamechelewa kidogo ila sio mbaya
 
Kwenye app ya msg hua Kuna auto fill Ina pop up wewe ni kuruhusu tu
Wangetisha zaidi Kama wangefanya hvyo na kwenye gmail
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…