mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,048
- 3,227
Aaaah brooo ... acha banaJ seris na a series mkuu ni pasua kichwa..znasumbua sana gcam
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaah brooo ... acha banaJ seris na a series mkuu ni pasua kichwa..znasumbua sana gcam
For the first time kusikia simu yangu hii haukubali mavitu ya utundu kama haya ..ila poa mtaalamu akishasema nani wa kubisha..wacha nibaki tu na machungu yangu
Okay nimeenda kusoma samsung site vizuri.J seris na a series mkuu ni pasua kichwa..znasumbua sana gcam
Bado haijakubali tuu mkuuMimi kwenye A20s imekataa,nime download,nimeinstall lakini imekataa kufanya kazi,inaniambia apps keep stopping...
Bado...Bado haijakubali tuu mkuu
Na mimi natumia Samsung A30s ikikubali kwako naomba link mkuuBado...
Hapo unajipa moyo tu mkuu..kwakua simu yako haina support ya gcam... tafuta simu nzur kisha weka gcam...utakuja hapa unachekelea mkuuOkay nimeenda kusoma samsung site vizuri.
Wameweka link ya J6 yake ..lakini wanasema Camera og ya Samsung ni bora kuliko hii gcam..na nikweli nimeinstal nikacompare piture ya Simu ni beetter kuliko gcam
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuba sasa hivi hapa mzeeVuta subira mkuu
Dah!Hizi A ni pasua kichwa mkuu
Hiyo hiyo link ambayo umeweka ndio nimeitumia na imekubali.Weka link na wengne waenjoy
Anhaa basi sawa enjoy mkuuHiyo hiyo link ambayo umeweka ndio nimeitumia na imekubali.
Naomba link kama imekubali mkuu kwenye A30sImekuba sasa hivi hapa mzee