Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Aaaah brooo ... acha bana

Sent using Jamii Forums mobile app
For the first time kusikia simu yangu hii haukubali mavitu ya utundu kama haya ..ila poa mtaalamu akishasema nani wa kubisha..wacha nibaki tu na machungu yangu
Screenshot_20200617-205922_Manual Camera Compatibility Test.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay nimeenda kusoma samsung site vizuri.
Wameweka link ya J6 yake ..lakini wanasema Camera og ya Samsung ni bora kuliko hii gcam..na nikweli nimeinstal nikacompare piture ya Simu ni beetter kuliko gcam

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo unajipa moyo tu mkuu..kwakua simu yako haina support ya gcam... tafuta simu nzur kisha weka gcam...utakuja hapa unachekelea mkuu

Samsung s na note ndio zina support..achana na hayo ma j na A series

Pia xiaomi wana support nzur ya gcam
 
Back
Top Bottom