Dah nzuri file limekaa vizuri ila still ina crash ndugu
Mkuu msaada samsung j5 prohongera mkuu..weka link hapa akitokea mweny kuitaka aipakue tu
Tatizo simu za huawei hazina fast charging, simu unachaji masaa matatu
Ila kwenye kamera wako vizuri
Mkuu ile link iligoma ila nimepata sehem nyingine inafanya kaz aseeMbna mwenzako imefunguka?






Bonge la potrait mkuuMkuu ile link iligoma ila nimepata sehem nyingine inafanya kaz asee
Nimeanza na hii
View attachment 1479848
Poa mkuu hii apaBonge la potrait mkuu
Weka link hapa itasaidia wengne
Nokia yng imepiga mzinga... Uchumi umepata pancha, ngoja nijikusanye nipatepo hata hiyo xiaomi redmi pro 8 nienjoy hiyo kitu.Hapana mkuu
Jichange mkuu..tena wiki hii kuna summer sales AliExpress

Yani shidaTatzo kwasasa AE hawa ship Tanzania![]()