Yangu ni snapdragon ila ulipotea mazimaYani ni pasua, ungekua na Snapdragon aah saiz unacheka tu
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Yangu ni snapdragon ila ulipotea mazimaYani ni pasua, ungekua na Snapdragon aah saiz unacheka tu
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Portrait ndo IPO unyama zaidiIpo safi but i wish nione sample ya potraid yake maana normal nimeona ile ulopost ipo vzuri
Zaidi ya poa.......hivi napata ya galaxy note 9?
Kwamba Samsung s22 kamera yake ni mbovu auMkuu mimi nna s22 yenye Snapdragon naweza pata Apk yake ya Gcam??
Sometimes watu wanataka Google Camera ili waijue vizuri tuKwamba Samsung s22 kamera yake ni mbovu au
Ebwana S9plus inasumbua gcamera naomba link yake
Huzijui Infinix ndugu. Umekariri tu dharau na kasumba za wamiliki wa Samsung. Picha zinatoka vzr tu.Infinix na Tecno utaona rangi nyeupe tuu utadhani ni ukuta mweupe kumbe ni jua kali
Unaipataje gcam..Nimeamini gcam inaboresha picha kwa simu zenye afya ya mgogoro
View attachment 2801445