Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Weka hyo apps niliyowambia wenzio waweke then upost result
Hii hapa mkuu,
Screenshot_20190516-224133_Manual%20Camera%20Compatibility%20Test.jpeg
 
Asante nimejaribu kuingia lkn naishia kupata matangazo tu

Jaribu hii,ingia hapo kisha wait sec ziload then get link..be careful hiyo link ina ads nying
 
Kwa wenye samsung ambao simu zetu hazipo kwenye list eg.s j4,j2 A7 n.k tunafanyaje?
 
Back
Top Bottom