Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Mkuu playstore umefata nn tena? Hii ni port ya gcam huez ikuta huko,ndiomana nimeweka link hapa

Alaf gcam inaanzia android 7 mkuu ,sasa simu yako ina android 6 haiwezi kubali humo.
Duuuh
 
Sijui ndio hiyo
Ebu tuone
20190515_125420.jpg
 
Nimedownload kwenye Samsung a30 inagoma kufunguka inaniletea msg hii
Screenshot_20190515-125714_Camera.jpeg
 

Jaribu hii,ingia hapo kisha wait sec ziload then get link..be careful hiyo link ina ads nying
Nimedownload kwenye Samsung a30 inagoma kufunguka inaniletea msg hiiView attachment 1098220
 
Back
Top Bottom