Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako


kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
3,852
Points
2,000
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
3,852 2,000
Embu nipe ya sony experia x.

Install hyo app kwanza kuangalia kama camera 2 api ipo enabled,open click start kisha post results
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
11,696
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
11,696 2,000

Install hyo app kwanza kuangalia kama camera 2 api ipo enabled,open click start kisha post results
Hii
screenshot_20190515-160945-jpeg.1098381
 
Wa maskani

Wa maskani

Member
Joined
Mar 11, 2016
Messages
88
Points
125
Wa maskani

Wa maskani

Member
Joined Mar 11, 2016
88 125
Natumia Samsung J7 core kila niki install inaniandikia app not installed...
Mkuu Naomba link ya j7 core 8.1
 
Wa maskani

Wa maskani

Member
Joined
Mar 11, 2016
Messages
88
Points
125
Wa maskani

Wa maskani

Member
Joined Mar 11, 2016
88 125
Mkuu naomba link ya j7 core mkuu nami nifurahie ulimwengu wa gcam
screenshot_20190515-165625_manual-camera-compatibility-test-jpg.1098453
 
Betri yenye chaji

Betri yenye chaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Messages
673
Points
1,000
Betri yenye chaji

Betri yenye chaji

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2012
673 1,000
Samsung J7 pro year 2017
 
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Messages
3,852
Points
2,000
kcamp

kcamp

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2014
3,852 2,000
Mkuu ku enable camera 2 api ni process ,inatakiwa simu yako iwe rooted kufanya hilo zoezi..sasa ww simu yako ipo rooted?
Ok,

Sasa natokomezaje? Naenda wapi kumuenabo huyu Camera 2 api?

Kwako kcamp.
 

Forum statistics

Threads 1,295,960
Members 498,495
Posts 31,229,158
Top