Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

Ni process mkuu,Yani kwanza kufanya hilo zoez la camera 2 api inataka simu kwanza iwe rooted,,sasa ww umeroot hiyo simu?
Eh kwaheli. Maana androi 8 ni mpaka kompyuta ihusike, kitu ambacho sikitaki.
 
Aisee, na bila kufanya hivyo gcam haiwez kaa,baadhi ya simu tayar camera 2api imeshakua enabled automatically kwaiyo inakua rahis kuweka apk tu basi
Eh kwaheli. Maana androi 8 ni mpaka kompyuta ihusike, kitu ambacho sikitaki.
 
Mkuu ku enable camera 2 api ni process ,inatakiwa simu yako iwe rooted kufanya hilo zoezi..sasa ww simu yako ipo rooted?
Mkuu kcamp.

Naomba nihudhurie darasa la kuroot Simu kwanza najua ntalikuta jukwaa la Tech.

Kazi inabaki kwangu.
 
Kabisa mkuu...tena ukipata root ya magisk itakua poa sana
Mkuu kcamp.

Naomba nihudhurie darasa la kuroot Simu kwanza najua ntalikuta jukwaa la Tech.

Kazi inabaki kwangu.
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Wadau aliyefanikiwa kuweka iyo camera kwenye Galaxy j7 prime tutambuane maana mi ni mpenda kupiga picha navyokuwa site lakini camera ya hii simu aijanifurahisha kabisa kcamp
 
Back
Top Bottom