Google adsense na propeller ads kipi bora?

emmillyson

New Member
Feb 2, 2017
3
0
habari zenu wana jamvi, mwenye ujuzi na uelewa juu ya Google adsense na propeller ads ni ipi nzuri zaidi ambayo naweza fanya nao kazi na nikafaidika zaidi kwenye blog yangu
hawa wote wawili malipo yao yakoje?
 
Ameingia mitini, ila tufanye viewers 30,000 toka Tanzania na traffic source ni fb, kwa propeller itakuwaje?

Mimi nishawahi piga views 20,000 wa Tanzania nikaambulia dollar 3

Propeller inataka views kwa Africa kutoka South Africa.

Wasauzi ndo watakupa hela mbaka uchanganyikiwe
 
Mi blog yangu inapata viewers 30000-280,000 kwa siku ambapo kwa AdSense napata mpaka 94 USD kwa siku.

Hivi propeller ni lazima uweke yale matangazo ya kufunika na kusumbua wasomaji au kuna option nyingine
 
Yale pop under ni mazuri. Yanongeza CPM.

Hakuna namna inabidi uyaweka tu mkuu
 
Ipi nzuri kati ya Google Adsense ambayo ni Hosted na ambayo Non-Hosted? mana wateja wangu wengi siku hizi wanapenda sana non hosted account, Hosted zimekuwa kama hazina soko ingawa nimebaki na moja tu
 
Hosted inakuaje na non hosted inakuaje wakuuu
 
Mi blog yangu inapata viewers 30000-280,000 kwa siku ambapo kwa AdSense napata mpaka 94 USD kwa siku.

Hivi propeller ni lazima uweke yale matangazo ya kufunika na kusumbua wasomaji au kuna option nyingine
Samahani mkuu...sijui unatumia trick gani?...alafu haoviwers ni wa Google analytics au kwenye blogger stats.....
 
Ni wa google analytics mkuu, ile ya kwenye blogger statistics huwa siiamini.
Blog yangu ilianza kitambo kdg na ninapata viewers wengi toka fb, page yangu ina 66,000+ likes, Nina group lenye 45,000+ members, Twitter 2000+ Followers, Instagram 9000+ followers, hawa ndo watembeleaji ila huwa na boost kuongeza traffic kwa siku natumia 3-15 USD ku boost.
 
Unatumia lugha gani kwenye site yako mkuu
 
Ni wa google analytics mkuu, ile ya kwenye blogger statistics huwa siiamini.
Blog yangu ilianza kitambo kdg na ninapata viewers wengi toka fb, page yangu ina 66,000+ likes, Nina group lenye 45,000+ members, Twitter 2000+ Followers, Instagram 9000+ followers, hawa ndo watembeleaji ila huwa na boost kuongeza traffic kwa siku natumia 3-15 USD ku boost.
Tuma linki ya blogu yako niicheki
 
habari zenu wana jamvi, mwenye ujuzi na uelewa juu ya Google adsense na propeller ads ni ipi nzuri zaidi ambayo naweza fanya nao kazi na nikafaidika zaidi kwenye blog yangu
hawa wote wawili malipo yao yakoje?
Kwangu Propeller ni bora..
kama naweza kulaza zaidi ya dollar 150$ per day na account haifungwi kwa nini kuhangaika na ma tapeli google adsens e..Google adsense unaweza kulaza dollar ngingi tatizo account inafungwa mda wowote haswa kama traffic zako zinatoka facebook..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom