Google adsense na propeller ads kipi bora?

Mi blog yangu inapata viewers 30000-280,000 kwa siku ambapo kwa AdSense napata mpaka 94 USD kwa siku.

Hivi propeller ni lazima uweke yale matangazo ya kufunika na kusumbua wasomaji au kuna option nyingine
mkuu traffic unaipatia wapi ase mana me ndo naanza mkuu ufafanuzi kidogo
 
Visitor wa tanzania cpc yake ni ndogo sana kulinganisha na traffic za developed counrty kama usa,canada na uk
Ok sasa ni namna gani naweza kupata traffic kutoka nchi kama USA, CANADA, na UK, kwa sababu nimejaribu ku_boost page na website kupitia facebook kwa kuchagua audience wa USA lakini bado mabadiliko sioni , naomba uzoefu wako katika hilo
 
Mimi sio mtaalamu sana wa kuongeza visitor bro nafahamu tu njia ya kushare kwenye socialmedia na kwa kulipia ads kama google ads,facebook ads na instagram ads
ngoja wataalam waje hapa kutujuza zaidi
 
Ahsante
 
H
Ok sasa ni namna gani naweza kupata traffic kutoka nchi kama USA, CANADA, na UK, kwa sababu nimejaribu ku_boost page na website kupitia facebook kwa kuchagua audience wa USA lakini bado mabadiliko sioni , naomba uzoefu wako katika hilo
Habari,
Ili kuweza kupata traffic kutoka tier 1 [USA,CANADA,UK] ni lazima content zako ziwe relevant na nchi husika.Nina maana gani.......... kwa mfano huwezi andika habari juu ya tukio lilio tokea mtaa wa mbagala kisha ukategemea asome mtu wa new york city.Hivyo traffic ya watu utaipata kulingana na content unazo andaa au kuweka.
 
Hivi serikali inafatilia kodi hivi vitu wakuu
Adsense natumia tangu October 2013, kilamwezi tar 22 natoa mpaka USD 500 juzi niliwauliza kuhusu traffic ya fb wakasema haina shida ngoja nikutumie hizo tweets
 
Hivi serikali inafatilia kodi hivi vitu wakuu
Wakiamua kufuatilia, tutapiga hela sana. Kwa sababu kuna mifumo kama ya PayPal itabidi ianze kutumika rasmi. Kwa hiyo kutakuwepo na fursa nyingi kuliko ilivyo sasa
 
Kweli kabisa serikali iangalie vyanzo hivi vya mapato sio kufungia makufuri maduka mitaji ya laki mbili
Wakiamua kufuatilia, tutapiga hela sana. Kwa sababu kuna mifumo kama ya PayPal itabidi ianze kutumika rasmi. Kwa hiyo kutakuwepo na fursa nyingi kuliko ilivyo sasa
 
Ndio sema ni indirect mfano unapopokea hela yako kwa njia ya webmoney,western union na wiretransfer au swift kuna makato yanafanyika
Unaweza kupokea hela ya webmoney kwa mfumo wa mobile badala ya western union!!!
 
mkuu traffic unaipatia wapi ase mana me ndo naanza mkuu ufafanuzi kidogo
Huyo jamaa ana audience ya kutosha mkuu... Yupo huko tangu 2013.. There's nothing zaidi ya kushea na quality kontenti
 
Visitor wa tanzania cpc yake ni ndogo sana kulinganisha na traffic za developed counrty kama usa,canada na uk
Mkuu inategemea na site ...kuna majamaa wana visitors wa TZ wanapiga rpm na cpc kubwa kama kawa 50+ $ pa dei
 
Huyo jamaa ana audience ya kutosha mkuu... Yupo huko tangu 2013.. There's nothing zaidi ya kushea na quality kontenti
Sawa sawa mkuu Mimi ndo kwanza naanza mkuu taratibu
 
Wakuu naomba kufahamu ili upate account ya propeller ads/google AdSense blog yako inatakiwa iwe na post ngapi na iwe na viewer wangapi na iwe imekaa kwa muda gani??? Shukrani wakuuuuu
 
Propeller haina shida ... Ila AdSense ndy kuna mashariti mengi... Post zaidi ya 50. Xiwe katika lugha ya kiingereza... Atleast 3months quality content... Custom domain name
 
Back
Top Bottom