apakak
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 896
- 662
Inawezekana.Hakuna tatizo loloteKatika blog moja kunauwezekano wa kuweka ads za kampuni mbili au tatu tofauti na isitokee hasari yoyote ?
Inawezekana.Hakuna tatizo loloteKatika blog moja kunauwezekano wa kuweka ads za kampuni mbili au tatu tofauti na isitokee hasari yoyote ?
DaahKwangu Propeller ni bora..
kama naweza kulaza zaidi ya dollar 150$ per day na account haifungwi kwa nini kuhangaika na ma tapeli google adsens e..Google adsense unaweza kulaza dollar ngingi tatizo account inafungwa mda wowote haswa kama traffic zako zinatoka facebook..
Okay nimekupata sema mkuu ukunijbugi tena kule pm vipInawezekana.Hakuna tatizo lolote
Blog yako ni ya English ?Mi blog yangu inapata viewers 30000-280,000 kwa siku ambapo kwa AdSense napata mpaka 94 USD kwa siku.
Hivi propeller ni lazima uweke yale matangazo ya kufunika na kusumbua wasomaji au kuna option nyingine
Naona jamaa kalala mbeleBlog yako ni ya English ?
Jamaa wengine hawaaminiki kabisaNaona jamaa kalala mbele
Google sasahivi wamekuwa marafiki sana baada ya kugundua kuna ushindani, sikuhizi wanatoa mpaka majibu ukiwauliza, Juzi niliwauliza kuhusiana na tetesi kuwa wanawafungia watu wenye traffic toka fb wakasema hawafungi isipokuwa ukiwashawishi viewers wako wabofye matangazo hapo watalamba accountKwangu Propeller ni bora..
kama naweza kulaza zaidi ya dollar 150$ per day na account haifungwi kwa nini kuhangaika na ma tapeli google adsens e..Google adsense unaweza kulaza dollar ngingi tatizo account inafungwa mda wowote haswa kama traffic zako zinatoka facebook..
Ndiyo ni ya English mkuu, Kiswahili hawatakiBlog yako ni ya English ?
Sijakimbia mkuu ni majukumuNaona jamaa kalala mbele
KiingerezaUnatumia lugha gani kwenye site yako mkuu
Niche gani, au General ?Ndiyo ni ya English mkuu, Kiswahili hawataki
Nafasi za kaziNiche gani, au General ?
Hongera mkuu, Wanaijeria, wahindi na wamarekani wanaingiza mamilioni sana - English is the best tool in making money onlineNafasi za kazi
Blog name: Kijiwe Cha WasomiTuma linki ya blogu yako niicheki
Mimi nakomaa hapa hapa tzHongera mkuu, Wanaijeria, wahindi na wamarekani wanaingiza mamilioni sana - English is the best tool in making money online
Hapo sawa...maana sijaona condition inayozungumzia traffic kutoka fbGoogle sasahivi wamekuwa marafiki sana baada ya kugundua kuna ushindani, sikuhizi wanatoa mpaka majibu ukiwauliza, Juzi niliwauliza kuhusiana na tetesi kuwa wanawafungia watu wenye traffic toka fb wakasema hawafungi isipokuwa ukiwashawishi viewers wako wabofye matangazo hapo watalamba account
Sawa hii huwa naiona sana ...mkuu..Blog name: Kijiwe Cha Wasomi
Blog: www.kijiwe.co.tz
Facebook: www.facebook.com/kijiwechawasomi
Twitter: www.twitter.com/kijiwechawasomi
Instagram: www.instagram.com/kijiwechawasomi
Nadhani baadhi yenu mtakuwa mnaifahamu.
Nitakucheki PM mkuu tuzungumze maana mimi napata sana shida kwenye cpc ,earnings na traffic.. Kila niki komaa google analytics naishia 5000 pg views/day... Kwenye events maalum ndiyo atleast nafikisha 20000 plusBlog name: Kijiwe Cha Wasomi
Blog: www.kijiwe.co.tz
Facebook: www.facebook.com/kijiwechawasomi
Twitter: www.twitter.com/kijiwechawasomi
Instagram: www.instagram.com/kijiwechawasomi
Nadhani baadhi yenu mtakuwa mnaifahamu.
Mkuu weka blog yako hapa!Ni wa google analytics mkuu, ile ya kwenye blogger statistics huwa siiamini.
Blog yangu ilianza kitambo kdg na ninapata viewers wengi toka fb, page yangu ina 66,000+ likes, Nina group lenye 45,000+ members, Twitter 2000+ Followers, Instagram 9000+ followers, hawa ndo watembeleaji ila huwa na boost kuongeza traffic kwa siku natumia 3-15 USD ku boost.