Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
- Thread starter
- #41
godoro mtwara,sasa hivi napiga push up.
Duuh mbona unanitisha, au unataka uwe kama wanzenu wa Kenya muanze kutupa kipigo???
godoro mtwara,sasa hivi napiga push up.
Good morning mtaly.. I feel so GREAT today!! No reason behind.. Its just a beautiful saturday...
Bado tuko hane mun na rejao wangu hapa,mda wa kuamka bado aisee!
hahaha kumbe dawa ya mgongo ni jogging umenifundisha..[/QUOTE
]
hehehe dawa ni nyingi tu inategemea sasa mgongo unauma sehemu gani katikati,chini,pembeni au karibu na shingo
Haya sasa endelea na pushup!
Ntakuhesabia ukicheza!
Haya endelea,juu,chini,juu zaidi,chini kidogo.
Uko safi kidogo!
Kesho tena mazoezi kama kawa kwn unafaa we mtoto!
Pamoja Tutafika!
Yuko poa kbs,c unajua cha asubuhi part 2,humu ndan ac ni kali sn na mwanga hafifu kbs,kwan jua lishawaka nje?
Haya sasa endelea na pushup!
Ntakuhesabia ukicheza!
Haya endelea,juu,chini,juu zaidi,chini kidogo.
Uko safi kidogo!
Kesho tena mazoezi kama kawa kwn unafaa we mtoto!
Pamoja Tutafika!
"TUMETHUBUTU, TUMEDIRIKI, TUNASONGA MBELE"
Zimefika mkuu,nasubiri ndoa ijibu ndio nimfahamishe!!!!Duuh mbona nawatamania... Mpe salamu zake Lejeo,
Mzee Mtambuzi anajua hilo.?
Kwa raha zetu jaman!!si unajua 2012 dunia yako chaguo lako,hahahaha!Jamani wakubwa wanafaidi mweeeh,
"TUMETHUBUTU, TUMEDIRIKI, TUNASONGA MBELE"
PAMOJA KAMANDA WANGU!!
Dah mwache alale tuHahaha!labda badae kidogo,cunajua mambo ya asubuhi njema kapitiwa na ucngizi!
Yuko poa kbs,c unajua cha asubuhi part 2,humu ndan ac ni kali sn na mwanga hafifu kbs,kwan jua lishawaka nje?
Duuh mbona unanitisha, au unataka uwe kama wanzenu wa Kenya muanze kutupa kipigo???
Haya sasa endelea na pushup!
Ntakuhesabia ukicheza!
Haya endelea,juu,chini,juu zaidi,chini kidogo.
Uko safi kidogo!
Kesho tena mazoezi kama kawa kwn unafaa we mtoto!
Pamoja Tutafika!
ni kweli lakini mbona na wewe hupigi?
Whaoooh... Enjoy your day cwtie...
Ngoja apumzike kwanza,haikuwa mchezo atii!Dah mwache alale tu
Hahahahhahah,hehe basi vizurii,mimi nishafyatua matofali 50 mpaka sasa na yote yashakauka.
naenda shamba madala...
wadau kuna viwanja huku bei poa...
asubuhi njema sana kwenu nyote!
Zimefika mkuu,nasubiri ndoa ijibu ndio nimfahamishe!!!!
Sasa we mbona umeamka mapema??? una maana Rejao mchovu au wewe hukujishighulisha????Ngoja apumzike kwanza,haikuwa mchezo atii!
Kwa raha zetu jaman!!si unajua 2012 dunia yako chaguo lako,hahahaha!