Capitol Hill
JF-Expert Member
- Oct 19, 2007
- 749
- 48
Lakini hizo special interests sio ndio zinazotoa kazi kwa wananchi wa kawaida. Sasa akitoa favor kwa mtu aliye kwenye social welfare, ni kitu gani kitakachofanyika?
Wengi walionufaika na special interests kutokana na kupindishwa kwa sheria na lack of oversight ama deregulations na contracts ambazo zimetolewa kinyamela nyamela ni watu ambao hawana shida na hela. These are already millionaires but they wanted more "greedy". Ukiangalia ma Kampuni mengi yamenufaika kutokana na urafiki wa karibu na Bush mwenyewe ama watu wake wa karibu, na haya makampuni kama Halliburton, Exxon Mobile, Pfizer, Blue Cross Blue Shields, Black Water, bado yanaendelea ku screw maisha ya wamarekani wengi kwa sababu ya favors (deregulations) na ma bilioni ya $ walizopewa/wanazoendelea kulipwa kwa mikataba ambayo wengine hawakupewa chance ya ku submit their bid. Hata baada ya wanajeshi wake kuua innocent civilians kule Iraq, Blackwater wakapewa new contract ya $92 million. Bush administration inapotoa subsidy ya millions of dollars kwa big pharmaceuticals ambazo instead ya ku pass hizo benefit down to the end user, wanalipa mishahara minene kwa executives wao (CEO wa Pfizer alipokea $11 mil mshahara pekee in 2007 achana na stock options na compensation nyingine), na wazee na retirees wasio na hela wanaotegemea haya madawa wanatafuta unafuu kwa kununua prescription medicine zao kutoka Canada na Mexico, tell me how the common man gets benefited.
Regime ya Bush hakumsaidia mtu mdogo, hohe hahe, hata kidogo. Hii regime iliangalia magabachori. Angalia hata tax policy zake.
Did I mention Bush tripled the national (US) debt (already in the TRILLIONS of dollars)?