Depopulation inakujaje?

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Tupige stori kidogo kwa maswali ya watu waliouliza. Ni kwa namna gani Wazungu wanataka kufanya depopulation Afrika? Yaani kupunguza watu.

Method ambayo wataweza kuitumia kwa nguvu ni magonjwa. Hili linaonekana kuwa jambo muhimu sana, hawataki kuona watu wakipata magonjwa na kupona. Walianza kufanya hivyo nchini China kwa kuwapelekea corona. Wachina wengi waliteketea na walipoona ngoma imetiki, wakaileta Afrika, kilichotokea, akina Nyemo walikuwa ngangari.

Sasa kwenye hili kuna jambo moja. Wanapoleta magonjwa, bahati mbaya sana magonjwa hayo nayo husambaa, wanajikuta mpaka wao wanayapata na kufariki dunia. Walileta Ukimwi, nao ukawafikia, wakaleta corona, nao ukawafikia, yaani kila kitu wanachotaka kuleta ni lazima nao uwafikie.

Wanachochea uchoko kwa sababu unapoanza masuala ya kichoko, ni vigumu sana kufikiria kumkula demu na kuzaa, ili mtu aharibikiwe kwenye masuala ya uchoko, ni lazima waanze naye tangu udogoni.

Hili linafanyikaje? Linafanyika kupitia NGOs mbalimbali. Nililielezea kwenye simulizi ya Democide. Yaani wanachokifanya ni kuwaandaa vijana wa Kiafrika ambao hao sasa wanaanzisha NGOs na kupewa pesa nyingi. Wanajua Waafrika matatizo yetu sisi ni pesa, hivyo wanakupa za kutosha lakini pia wanakutumia kupenyeza propaganda zao.

Wanafanya hivyo pia kupitia kwenye vituo vya watoto yatima na mashule ya international. Wanapitisha agenda zao huko. Utakuta vituo vya watoto yatima wafadhili ni Wazungu. Wanachokitaka ni kuharibu kwanza kizazi cha Mwafrika, kusiwe na watu wengi, yaani kama mfano Afrika tuna watu bilioni 2, basi mpaka kufikia mwaka 2030 kuwe na watu bilioni 2.5. Yaani wanaozaliwa wawe wachache kuliko wanaokufa, na hao wanaozaliwa, wanawapandikizia mambo ya uchoko.

Okay! Huu uchoko Waafrika wanauogopa kuufanya kwa sababu wameshikilia dini na wanajua kabisa kilichotokea Sodoma na Gomora, tufanye kitu gani kuwaonyesha kwamba uchoko si jambo la kuogopesha? Wanaanza kuwekeza nguvu kubwa kwenye filamu mbalimbali.

Wewe unapoangalia filamu hizo na kuona mwanaume anamkisi mwanaume mwenzake, unakasirika, lakini unasahau kwamba mtoto wako naye anaziangalia, akiziangalia, anaona kumbe mimi ni kawaida kumbusu Ali, kumbe ni kawaida kumbusu John, basi anafanya hivyo.

Kwa kuwa mzazi unajifanya kushtukia hiyo propaganda ya muvi, sasa wanawaingizia suala hilo kwenye katuni zao, wanaweka masuala ya uchoko. Haya mambo watu wamewekeza mabilioni ya dola kuhakikisha idadi ya watu duniani inapungua kwa kiasi kikubwa.

Kwa Afrika mambo ya uchoko yalianza kupamba moto baada ya ukuaji wa internet. Kupitia internet, watoto wakaanza kuangalia sana picha za ngono. Kule unaona ni kawaida mwanaume kulala na mwanaume mwenzake, mwanamke kulala na mwanamke mwenzake na hata mwanamke kufirwa.

Baada ya kuangalia sana muvi za ngono, sasa wanawake nao wakawa huru, sasa mashoga wakaanza kuongezeka na ndiyo maana ili kukiponya kizazi kijacho, serikali yetu ikaamua kufunga tovuti za filamu za ngono. Kwa nini wafanye hivyo? Kwa sababu walijua mwanzo wa matatizo haya yote yalianzia huko.

Pamoja na kufanya hivyo, bado wajanja waliweza kuzifungua kwa vpn. Tunasema tunaikomesha serikali iliyozifungia kumbe tunavikomesha vizazi vyetu.

Nchi yoyote ikipinga ushoga imekuwa adui, yaani imekuwa haisapoti suala lao la depopulation. Hili suala ambalo alilianzisha Bill Gates lilipokelewa na serikali za Marekani na Ulaya, akasema mikakati yake, ikapokelewa na ndiyo maana kila kitu kinafanyika kwa nguvu sana barani Afrika. Tunaonekana kama tunamaliza pumzi ya bure hapa duniani.

Zamani Waafrika hatukuwa tukiumwa kansa kwa sana ama kisukari, ila kupitia vyakula ambavyo walitumia nguvu kubwa kuviingiza, sasa na sisi tunaanza kuumwa magonjwa hayo. Wanajua kabisa sisi tuna vyakula vyetu, ni lazima napo watumie nguvu kuhakikisha tunaachana na vyakula hivyo na kuanza kula vyakula vyao.

Wakaamua mpaka kutuletea kuku wa broiller. Wakatuletea pizza, wakatuletea vyakula vya aina mbalimbali na vinywaji. Sasa hivi vijana tunakunywa sana maji ya viwandani kuliko kunywa maji ya bomba yaliyochemshwa.

Kuna namna nyingi sana Wazungu wanatumia kutumaliza, kwa sababu tumekuwa makini kwenye madawa na magonjwa, sasa wanaanza kudili na sisi kupitia vyakula na vinywaji.

Wakati wameweka mpango huu, wamekuwa wakimuua kila mtu ambaye analeta suluhisho kwenye mipango yao. Dk. Sebi aliuawa kwa sababu tu alisema anaweza kuponywa magonjwa yote duniani. Leo ukisema una dawa ya Ukimwi haraka sana watu wanakumaliza.

Mpango wa kumaliza watu duniani upo sana tu. Kama unakumbuka yule jamaa aliyetumia time travel ambaye walimsafirisha mpaka mwaka 2100 alisema aliiona dunia ikiwa imebadilika na maroboti yalikuwa mengi duniani kuliko hata binadamu. Hii inamaanisha nini? Kwamba mpango wao utafanikiwa kwa asilimia mia moja.

Tatizo huwa ni moja tu. Tunawachukia Wazungu na mipango yao mibovu lakini tunapenda kutumia vitu vyao. Vitu hivyohivyo ndivyo vinavyoanza kutuumiza sisi na watoto wetu.

Leo mtu anajivunia kula pizza, anajivunia kunywa soda baridiiii, anajivunia kula aina ya vyakula vyao pasipo kujua kwamba huo ndiyo mpango namba moja uliowekwa kwa ajili ya kuwamaliza Waafrika jambo ambalo hata ukiangalia kwa sasa limekuwa likipata nguvu. Magonjwa yamekuwa mengi mno Afrika, tena yale magonjwa hatari ambayo zamani tulikuwa tukiyasikia kwao tu.

Wakieleta dawa ya Ukimwi, unahisi itafika Afrika? Na unahisi kabisa dawa ya Ukimwi haipo? Ulaya zipo, hapa Afrika pia zipo za kienyeji, ila ukigundulika tu, wenzako weusi ambao wanafadhiliwa na Wazungu wanakuja kukumaliza.

Nilikuwa naangalia mkutano fulani hivi kuhusu masuala mbalimbali, kwenye mkutano ule pia wakazungumzia suala la wingi wa watu hapa duniani. Hilo Bill Gates alikwishawahi kulizungumzia na kwenye mkutano ule kulikuwa na watu wake ambao walisisitiza kile alichokuwa amekizungumza huko nyuma.

Wanasema dunia imejaa, kuna huduma nyingi huwa hazitoshi kuwafikia watu wote, ili kuwe na usawa mkubwa hapa duniani na huduma zitoshe basi jambo la kwanza kabisa litakuwa ni kupunguza watu.

Idadi ya watu bilioni 3 inatakiwa kuondoka duniani haraka iwezekanavyo na watu hao wanatakiwa kuwa Waafrika, kwa madai yao ni kwamba sisi hatuna effect yoyote kubwa duniani, hatuna jambo lolote lile la maana tunalolifanya, yaani hapa duniani tunaonekana kama watu ambao tupotupo tu.

Ukisikiliza mkutano ule na kwa namna wanavyoongea, wanaonekana kuwa serious sana, wanaonekana kumaanisha kila kitu wakisemacho, kwamba ufanyike mkakati wa kuwamaliza Waafrika kwa kuwa wingi wetu unaonekana kuwa si kitu.

Hili likanipeleka mpaka kipindi cha corona, niliwahi kuandika na watu wakachukia sana, yaaap! Mimi napenda sana kuwachukiza, yaani nikiona unachukia kisa makala zangu ndiyo naona raha sasa, mimi napenda sana violence ila nakuandikia kile kitu cha kweli kabisa.

Waafrika hatuna impact kubwa kwenye hii dunia. Mzungu hamuogopi Mwafrika hata kidogo, yaani mzungu hawezi kukwamishwa mambo yake na Mwafrika, asichokipenda kutoka kwetu ni kuungana tu na ndiyo maana wanasisitiza sana tuzishikilie dini zetu kwa sababu wamekwishaona kwenye suala la dini, Waafrika hawawezi kuungana hata kidogo.

Yaani washaona kwa Afrika ni vigumu kumchukua Mkristo na Muislamu kutengeneza kitu kimoja, kwa hiyo wanajitahidi kutoa misaada mingi, wanasaidia vituo vya watoto yatima vya dini zote ili dini zishikwe sana huko kwa sababu kama hawa watu wakikubaliana wasimamie dini moja, itakuwa ni hatari sana kwao.

Washajua kwamba Afrika makanisa na misikiti ni mingi kuliko viwanda hivyo hawa watu tukiwaacha wakazishika sana dini zao hawatoweza kuungana hata kidogo, na ndicho kinachotokea.

Sasa bro! Waafrika tunatakiwa kufa. Watataka kutuua kwa wingi kama kuku wa mdondo kwa sababu wanatuona tunamaliza hewa ya bure tu hapa duniani. Yaani hao watu bilioni 3 ambao wanatakiwa kuifa haraka sana ni sisi Waafrika.

Hatujui watatuua kwa aina gani ya kifo, hatujui kama watatumia madawa ama nini. Yaani kwa namna yoyote ile ambayo watataka kutuua, sidhani kama itakuwa vigumu sana kwa kuwa mambo mengi tunawategemea wao.

Mpango huo wakati nauzungumza Bill Gates, wengi hawakuamini, ulikwenda halafu kama ukafa hivi ila baadaye ukafufuliwa tena. Inawezekana wakati naandika haya tayari mpango umekwishaanza kufanyika ili tufe mapema. Watu bilioni tatu ni wengi sana, wengi mno. Yaani idadi hiyo ya watu, wakiruka juu kwa pamoja na wakatua chini, jua dunia itahama njia yake haraka sana.

Sikutishi ila nimekufikishia kile ambacho Watu wamekaa na kujadili.
 
Umeongea masuala mengi ila mengi ni mihemuko na hofu yako,ukija kwenye suala la uchumi wa dunia ukweli ni kwamba waafrika hatuchangii chochote.

Suala la dini ukristo na uislam sio dini zetu ni dini zao wanazitumia kutawala kifikra na hapa wajinga wengi ndio walipokamatika na hili ndio tatizo kuu.

Kumbuka magonjwa hayajaanza leo wala hayataisha kesho yapo na yalikuwepo,ukuaji huu na uongezekaji wa watu duniani umetokana na investment kubwa sana ya hao wazungu katika suala la afya na tiba,waafrika wengi wamekufa sana kwa magonjwa kama ndui na vifo vya uzazi haya matatizo kwa sasa yamepungua sana.

Suala la ushoga sio mbinu ya kupunguza watu na hata kama ni hivyo haina impact kubwa katika kuzaana inshu ya ushoga ni kuandaa fikra za watu kuona kila mtu anahaki ya kuonyesha hisia na matamanio yake ya kingono bila kubaguliwa ama kuuwawa.

Tukija suala la matumizi ya vinywaji na vyakula vya viwandani hili hata ulaya lina watafuna sana kwa ongezeko la magonjwa ya saratani na kisukari ingawa sio sababu kuu mana vishababishi vya magonjwa hayo ni vingi.

Suala la kunywa maji ya bomba ya kuchemsha,tambua maji ya bomba yanatibiwa kwa kemikali kama chlorine kama yalivyo ya chupa hivyo hapo hujakimbia tatizo.

Ni kuhakikishe tu kama wakiamua kutumaliza wanasababu nyingi sana za kufanya hivyo na wala huwezi wa zuia,na tambua population ya watu afrika haifikii idadi ya wahidi .
 
Vipi kuhusu nyota ya kijani na uzazi wa mpango? Dawa za kuzuia mimba hazina madhara kwa mtumiaji?

Mkuu madhara yapo sana tu,watumiaji wengi wa hayo madawa hupata changamoto sana katika suala la uzazi na baadhi upata ugumba ama utasa.

Tuwashauri wanawake/mabinti wenye lengo la kuzaa waepuke matumizi ya hizo hormonal contraceptives.
 
Back
Top Bottom