Goodbye my dear @preta

Goodbye my dear @preta

Dedication:
Safari sio kifo mama watoto
Subiri nitarudi mama eeeh
Nikirudi mama ntakuletea zawadiii!
 
Najua nilikuaga Mpenzi wangu Preta, najua ulinisikia, na ninahakika huna amani kwa safari yangu! Ni vigumu kujitenga nawe, huko Tabora ninakoenda na idadi ya siku nitakazo kaa hakika zitakuwa ngumu na nyingi sana kuliko siku zote ambazo nimeishi hapa duniani! Preta Mpenzi, kimwili nitakuwa Tabora kwa siku zipatazo 23, ila kifikra sitakuwa mbali nawe hata kwa sekunde moja!!! Naomba uniombee dia moyo wangu sije ukasimama kwa kukumisi laaziz wangu!

Najua wapo wanaofurahia kusafiri kwangu, hasa Mtambuzi na MziziMkavu, angalia kesho tu wataweka picha yangu hapa na kujifanya wanasaikolojia ati sura yangu inaonesha kuwa mimi si mwaminfu, usiwajali baby!!

Wapo wapambe wao kama Nivea, Natalia, lara 1 na wengine watakwambia ati sina pochi, achana nao kwani mapenzi yetu yalianza zamani kabla hata sina hilo pochi!

Najua wengi wanaume na wababa wa humu Jf ni wa bahili wakiombwa hela ya vocha wanakuja kulalamika humu, kwangu mimi ni furaha najua hawata kupata! Bishanga, Rutashobolwa na wenzake ni mabingwa wa kujitapa hali hawana kitu!!

Nakupenda Preta, kuwa wangu daima mpenzi
moto2012 de Mapenzi

lazima wengine wafurahi

Dedication:
Safari sio kifo mama watoto
Subiri nitarudi mama eeeh
Nikirudi mama ntakuletea zawadiii!

Masafa marefu na Tancut Almasi Orchestra live - YouTube
 
Dedication:
Safari sio kifo mama watoto
Subiri nitarudi mama eeeh
Nikirudi mama ntakuletea zawadiii!

The way how I'm missing her natamani nikatishe huu muda! Guest nilkofikia kitanda kikuubwa mpaka nakiogopa, hivi vyumba vya "ensuite" vinaboa kwetu tulowaacha tuwapendao maili nyingi
 
Hao washaanza wasiopenda penzi lenu listawi umemuona huyu Kimori anavyokusemea moto2012?
Kaka Blue G, usihofu, Preta wangu anavigezo anavyoangalia, rejea uzi wake wa hapa JF kuwa wanawake wanavigezo wanavyoangalia, hasa cha hela Kimori anatoa wapi, najua hana waleti, hivyo yupo out of the game!
 
Last edited by a moderator:
hehehe, hakuna Da Sophy huko akakaimu siku chache hizi jamani? Tugawane umaskini, usirudishe per diem hizo home baba.
The way how I'm missing her natamani nikatishe huu muda! Guest nilkofikia kitanda kikuubwa mpaka nakiogopa, hivi vyumba vya "ensuite" vinaboa kwetu tulowaacha tuwapendao maili nyingi
 
hehehe, hakuna Da Sophy huko akakaimu siku chache hizi jamani? Tugawane umaskini, usirudishe per diem hizo home baba.
Preta alizaliwa peke yake, nami peke yangu, sisi ni Adamu na Hawa hapa duniani, huyo Da Sophy sidhani kama kazi ya u-nyoka ataiweza, sababu Maandiko ya Kitabu cha dini yetu yapo Mu-vichwa mwetu!!
 
Last edited by a moderator:
hii ndoa sio rasmi je Baba V una taarifa hizi???????? Preta uko aware au hawa ndio wale tunawaita wapenzi wa ndotoni , Preta preta njoo ukimbie kivuli chako mama
Wewe huyo Preta ni mke mwenziyo hivyo uwena ka aibu meshiriki chungu kimoja sawa??
 
Last edited by a moderator:
tulia na ndoa yako na amu sie bado bachelar tunawinda winda vipepeo
bora unisaidie mke mwenza maana huyu jamaa macho juu juu mda si mfupi nitampiga chini na bongeeeee la bandikoooooo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom