Goodbye my dear @preta

moto2012

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
2,303
Reaction score
1,530
Najua nilikuaga Mpenzi wangu Preta, najua ulinisikia, na ninahakika huna amani kwa safari yangu! Ni vigumu kujitenga nawe, huko Tabora ninakoenda na idadi ya siku nitakazo kaa hakika zitakuwa ngumu na nyingi sana kuliko siku zote ambazo nimeishi hapa duniani! Preta Mpenzi, kimwili nitakuwa Tabora kwa siku zipatazo 23, ila kifikra sitakuwa mbali nawe hata kwa sekunde moja!!! Naomba uniombee dia moyo wangu sije ukasimama kwa kukumisi laaziz wangu!

Najua wapo wanaofurahia kusafiri kwangu, hasa Mtambuzi na MziziMkavu, angalia kesho tu wataweka picha yangu hapa na kujifanya wanasaikolojia ati sura yangu inaonesha kuwa mimi si mwaminfu, usiwajali baby!!

Wapo wapambe wao kama Nivea, Natalia, lara 1 na wengine watakwambia ati sina pochi, achana nao kwani mapenzi yetu yalianza zamani kabla hata sina hilo pochi!

Najua wengi wanaume na wababa wa humu Jf ni wa bahili wakiombwa hela ya vocha wanakuja kulalamika humu, kwangu mimi ni furaha najua hawata kupata! Bishanga, Rutashobolwa na wenzake ni mabingwa wa kujitapa hali hawana kitu!!

Nakupenda Preta, kuwa wangu daima mpenzi
moto2012 de Mapenzi
 
Last edited by a moderator:
hii ndoa sio rasmi je Baba V una taarifa hizi???????? Preta uko aware au hawa ndio wale tunawaita wapenzi wa ndotoni , Preta preta njoo ukimbie kivuli chako mama
 
Last edited by a moderator:
ngoja nisubiri hii mechi itakavyopigwa.
 
Kuna methali zinasme: 1. Asie machoni na moyoni hayupo
2. Fimbo ya mbali.........
3.....
 
Last edited by a moderator:
hii ndoa sio rasmi je Baba V una taarifa hizi???????? Preta uko aware au hawa ndio wale tunawaita wapenzi wa ndotoni , Preta preta njoo ukimbie kivuli chako mama

Penzi hukaa moyoni, na kamwe halibandikwi mgongoni kama tangazo!!
 
Nashindwa amini ni kusaka umaarufu kupitia migongo ya watuv au ndiyo mambo ya Bob Marley na hisia kali.

Arushaone njoo uone mambo huku.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mmmh! nilijua ule mfano ulioutoa kwenye uzi wa kutafutiwa mke ulikuwa mfano tu kumbe kweli??
basi mm kama mwenyekiti wa UWJ nakutakia safari njema sana Mungu akuongeze usije mtenda Preta
 
Last edited by a moderator:
mmmh! nilijua ule mfano ulioutoa kwenye uzi wa kutafutiwa mke ulikuwa mfano tu kumbe kweli??
basi mm kama mwenyekiti wa UWJ nakutakia safari njema sana Mungu akuongeze usije mtenda Preta

Asante mwalimu!
Ilikuwa ni leadership by example
 
Aiseeee. kweli nimepitwa na mengi!! Safari ya Yaeda chini ni lazima kwa sasa😛lane:
 
Yaani moto2012 sijui na wewe utammiss Preta kama gfsonwin alivyommiss hubby wake au ndo yale mambo ya akiwepo niko naye asipokuwepo natafuta pakuegemea na kujipunguzia mawazo tata.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…