INAUZWA Good news kwa watu wangu wa fursa za biashara ndani na nje ya Dodoma

Embassy

Member
Feb 4, 2012
34
16
Muundo wa eneo letu hili.
(Chumba kikubwa sana) Hall la mkutano.
ofisi,
sebure,
jiko,
stoo,
chumba cha drycleaner,
paking kubwa,
car wash,
swiming,
Mgahawa na bar,

Pia kuna nyumba ndogo pembeni.
Hii kwa ajili ya wafanyakazi wa ndani,

Muundo wake
vyumba viwili,
jiko,
choo cha public.
chumba cha kuweka nguo,

Huduma zote zipo.
Maji umeme
Maji moto ndan kote.
na geti remoti,
Cctv camera.
electronic fens

Nyumba ni Full ferniture,

Gharama yake Kod ni Tsh milioni 3 and 2.5 kwa mwez malipo miez 6 adi 12.

Karbu sanaaa.

#mawasiliano
#call_watsapp
0718436694
Au
0628300161

Charama.
Kwenda site elfu 20
Malipo ya kaz Kod mwezi 1 kutoka kwa wew mteja wangu.

Njoo uone fursa tuzungumze Biashara.

InShot_20220224_014745427.jpg
 
Back
Top Bottom