Wasi wasi wangu... ilibidi nirudi reverse kuhakikisha it is indeed you...
Mie naamini mtu yeyote wa kujitolea ana sehemu anaweza pewa responsibility
katika shughuli za harusi... lol
Katika siku zijazo ..na na uwepo wa JF hapa duniani ..itafungwa ndoa ya kwanza ya wana JF kati ya SI na ...........(anajijua) hio ndoa/arusi /sherehe) haitawaweka wana JF pembeni kwani ni zao la JF . .viva JF