Good news for JF members especially MMU

ndo nyingi kivipi? mbona hatukualikana mkuu...?au kimya kimya
Labda tafsiri ya ndoa imeanza kuwa tata, niulize hivi ukiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanJF hiyo nayo ni ndoa? Kama kwa tafsiri hiyo nakubali ndoa za JF zitazidi mia +
 
Labda tafsiri ya ndoa imeanza kuwa tata, niulize hivi ukiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanJF hiyo nayo ni ndoa? Kama kwa tafsiri hiyo nakubali ndoa za JF zitazidi mia +
ha
pa siongei mahusiano ya kuandikiana meseji hapa JF naongelea in really life ...
 
wenyewe hawajasema wana mbuzi wa kuchinja nyie ndomnashikilia visu!!
 
Kimya kimya mkuu!
JF pana sana..memberz ni wengi na almost wote ni waelewa! Ukiwa serious unajibebea tu!
ahhahhahhahah...Rejao ...hahha...umeniacha hoi mkuu ..kumbe ndio hivyo...sasa mimi nataka kufanya public
 
we rejao kuna kitu unamtafuta huyu mtakatifu..
mkuu wangu Ndetichia bora umeona na wewe hii kitu ..sijuia jamaa anatafuta nini ...ngoja nimuulize ..yeye kafundwa na Asha D?
 
Wengi mtapinga lakini ndiyo ukweli. wanaoona toka humu nawapa pole nyingi! wajiandae kwa heart attack! yangu macho.
 
Dude you are lost.Marriage? think something else.
karibu MMU where we dare talk openly and still love one another

Hebu wasiliana na AshaD na Asprin wakupe oriientation ya upendo......... IT CAN BE DONE, IT IS DONE, AND WILL ALWAYS BE DONE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…