Good morning, Samia haters!!!! Tanzania plays U-17 afcon final guys!!

Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo.

Samia ni level zingine.
Sijui ni falsafa ya wapi hii!!!!!!! Wewe ukifanya vizuri watu wengine wachukie? Kwa nini? Wewe unafurahia watu wasifurahi wakati wewe unafanya vizuri? Basi wewe una ugonjwa wa akili.

Binadamu aliye na asili ya utu hufanya mambo ambayo yatafanya kila mtu afurahi yeye anavyofanya vizuri.

Lakini ndiyo asili yenu hivyo, nasikia kule Msoga 99.99% wasomi kama Mzee wa msoga hata 10 hakuna, na yeye anafurahia sana hiyo demography, kwa sababu ina mindset kama yako. Versus Moshi kule kwa Mtei, almost 50% wako kama Mtei, unaona furaha iliyopo?

That is your world na ujinga wetu tunawapa nchi
 
Mmezidisha uchawa sana aisee,Samia na hawo watoto kucheza fainal inahusiana vp
 
Hii mechi niliiangalia,wale vijana wetu wako vizuri sana.Sasa jumapili wanacheza fainali na senegal.Tuwaombee Mungu washinde hilo kombe
Kama mafanikio yao yamewezeshwa na huyo anaye msifia mleta mada,basi,hiyo fainali wafungwe tu,tuache kumchosha Mungu na maombi ya hovyo.
 
Screenshot_20260529-075225.png

Ignore is loading....
 
Kama mafanikio yao yamewezeshwa na huyo anaye msifia mleta mada,basi,hiyo fainali wafungwe tu,tuache kumchosha Mungu na maombi ya hovyo.
Pole sana hater, chonde chonde usije kujifungulia njiani sababu ya hasira.
 
Sijui ni falsafa ya wapi hii!!!!!!! Wewe ukifanya vizuri watu wengine wachukie? Kwa nini? Wewe unafurahia watu wasifurahi wakati wewe unafanya vizuri? Basi wewe una ugonjwa wa akili.

Binadamu aliye na asili ya utu hufanya mambo ambayo yatafanya kila mtu afurahi yeye anavyofanya vizuri.

Lakini ndiyo asili yenu hivyo, nasikia kule Msoga 99.99% wasomi kama Mzee wa msoga hata 10 hakuna, na yeye anafurahia sana hiyo demography, kwa sababu ina mindset kama yako. Versus Moshi kule kwa Mtei, almost 50% wako kama Mtei, unaona furaha iliyopo?

That is your world na ujinga wetu tunawapa nchi
Hehehehee! Hahahahaaa! Tehe tehe teheee! Bwahabwahabwahaaa!!!

Una miaka mingapi?!!! Nisije kupoteza nguvu Bure kujibishana na mtoto asiyeelewa chochote zaidi ya kukaririshwa ujinga na chuki huko alikotoka.
 
Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo.

Samia ni level zingine.
Kumbe Samia ni locha wa U-17? Sikuwa na habari. Azam wamchukue labda atawapakombe, aisaidie timu ya shogaye wa Zanzibar
 
Swali zuri ila ungeanza na neno "KAHABA" alikuwa ana cheza nafasi gani uwanjani ?
Poleni sana haters, mpaka 2030 mtazoea na itakuwa inapita bila shida.....utaikatia mwenyewe bila kulazimishwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom