Good morning, Samia haters!!!! Tanzania plays U-17 afcon final guys!!

Pole sana hater, mpaka 2030 utazoea tu na itakuwa inapita bila maumivu.
Ushauri wangu ni kwamba CCM waache kuwatumia watu wasio na elimu kwenye hizi propaganda za huku JF. Wanajitia aibu. Afadhali Mwashamba na Tlaatlaaa mara kumi katika kukosa akili kuliko wewe
 
Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo.

Samia ni level zingine.
Acheni porojo hiyo team walindeni,hao hao badaye wapandisheni wawe national team ya wakubwa
Msije mkawatupa njiani kama kawaida yenu mkabakia na usimba yanga wenu

Ova
 
Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo.

Samia ni level zingine.
Samia ndio anacheza mpira?
Mbona kama mmewehuka hivi?
 
Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo.

Samia ni level zingine.
People hate her because she killed a lots of people. Kwa hiyo wewe kwa akili yako hiyo timu in watoto waliozaliwa na samia. Hiyo timu ina watoto wa watu mbalimbali.
 
If it was her who gave the order then she did the right thing. The best and most effective way to deal with killers is to have them killed. Who on earth would let live those sons of bitches who truly aimed to harm everything and everyone as long as they were related with Samia who gave their husband (lissu) life?!!!
 
Ushauri wangu ni kwamba CCM waache kuwatumia watu wasio na elimu kwenye hizi propaganda za huku JF. Wanajitia aibu. Afadhali Mwashamba na Tlaatlaaa mara kumi katika kukosa akili kuliko wewe
Mimi kazi yangu si kuleta propaganda Wala kupangikia hoja kwa uzuri, kwenye hilo kina mwashamba na tlaatlaa wako vizuri na wanawahenyesha haswa nyie nyumbu msio na akili. Hao wawili (Mwashamba na Tlaatlaa) ni sawasawa na nyumbu wooote mliopo humu na walio nje.

Mimi kazi yangu ni kama aliyokuwa nayo Pepe pale Real Madrid, kudeal na wapuuuzi na upuuzi...... perpendicularly! Hiyo ndo kazi yangu ya kujitolea niipendayo sana. Kama unafikiri natumwa basi pole sana
 
If it was her who gave the order then she did the right thing. The best and most effective way to deal with killers is to have them killed. Who on earth would let live those sons of bitches who truly aimed to harm everything and everyone as long as they were related with Samia who gave their husband (lissu) life?!!!
kumbe tunajibu message toka kwa mweu. Ngoja nikuondoe kwenye list kabisa
 
Alaumiwe aliezaa kichaa kama huyu.
Mama aliyebeba Ujauzito miezi Tisa.
Na Baba Mshenzi na Bahili wa Kununua Condom.
 
Umesikia goli la Mama huko?
Mpango umebadilishwa maana goli la mama linawatia presha bure,kumbuka hao ni vijana wadogo,bali watakaporudi ndio watapokelewa kishujaa na kupewa zawadi kemkem
 
Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo.

Samia ni level zingine.
SAMUYA alikuwa anacheza namba ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom