Good bye my love safari njema

Good bye my love safari njema

Naona dada ako penzi limetaradadi, hasikii wala haoni. Bado wewe tu.

Cc Carleen
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Siku naja mfungulia mtoto wa mtu thread, I swear I'll tag you wa kwanza kabisa, hapa makopakopa yanamiminika,

Umenichekesha Kaka aqe C, 'mxiiieeew'...!!
 
šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Siku naja mfungulia mtoto wa mtu thread, I swear I'll tag you wa kwanza kabisa, hapa makopakopa yanamiminika,

Umenichekesha Kaka aqe C, 'mxiiieeew'...!!

Hatimaye undugu kati yangu na mgawa ubuyu, unataka kuuhalalisha kabisa sio?šŸ˜…šŸ˜….

Nipo hapa kuusubiri huo uzi, mwaka huu nataka nijifunze kitu kutoka kwako dada unique.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom