Hapana mkuu, hizi pombe za kienyeji haziangaliwa vizuri kwa mapana. Nikimaanisha kuwa, kama tungekuwa serious na vitu vyetu kuanzia hizo pombe za kienyeji tungekuwa tumeshaziboresha kwa kuzipunguzia baadhi ya contents ambazo ni sumu/hatari kwa afya ya binadamu pamoja na usindikaji mzuri na packaging yake ili kuongeza ajira pamoja na pato la ndani. Lakini kwa kuzipuuza hizi pombe tunadharau vitu vyetu vya asili na kukimbilia vya wazungu. Gongo haina tofauti na Vodka, konyagi, Gordons, John-Walker Black/Red label, etc isipokuwa packaging tu. Ukienda Asia, watu wanatukuza pombe za kienyeji kuliko hizi bia na zimefanyiwa research hazina madhara.Acha wafe! Kwani hawajui kuwa niharamu? Mshahara wa dhambi ni mauti.Hivyo mimi sishangai.
sisi hapa kwetu ukiachilia lubisi kuna pombe ya gongo ambayo inanywewa sana na madhara yake nadhani sio makubwa sana maana karibia ni sawa na Konyagi au whisk zingine.Hapana mkuu, hizi pombe za kienyeji haziangaliwa vizuri kwa mapana. Nikimaanisha kuwa, kama tungekuwa serious na vitu vyetu kuanzia hizo pombe za kienyeji tungekuwa tumeshaziboresha kwa kuzipunguzia baadhi ya contents ambazo ni sumu/hatari kwa afya ya binadamu pamoja na usindikaji mzuri na packaging yake ili kuongeza ajira pamoja na pato la ndani. Lakini kwa kuzipuuza hizi pombe tunadharau vitu vyetu vya asili na kukimbilia vya wazungu. Gongo haina tofauti na Vodka, konyagi, Gordons, John-Walker Black/Red label, etc isipokuwa packaging tu. Ukienda Asia, watu wanatukuza pombe za kienyeji kuliko hizi bia na zimefanyiwa research hazina madhara.
Hao ni kuwapa uwezo na kuwatengenezea sheria ambazo zinalinda interests za pande zote. Zidhani kama hizo pombe zikifanyiwa marekebisho zitakuwa ni haramu tena. Tutaanza kusikia hadi ikulu wanakunywa Gongo au Professor mzima anapiga gonga sababu zitakuwa hazina madhara tena. Mfano: wanaweza kuongezea nutrients ambazo ni mhimu kwenye miili ya wanadamu. Lakini kwa sababu kila kitu tunaimport, utasikia oooh ni hatari mara haifai kumbe watu wanapoteza ufisasi sehemu. Ndiyo tunaipinga hii serikali isiyoona tuko katika karne ya ngapi.sisi hapa kwetu ukiachilia lubisi kuna pombe ya gongo ambayo inanywewa sana na madhara yake nadhani sio makubwa sana maana karibia ni sawa na Konyagi au whisk zingine.
Lakini wakuu tusisahau pia kuwa uwezo wa mwananchi kununua bia ambayo nasikia sasa ni Tsh. 2,000/- unazidi kushuka kutokana na kuporomoka kwa uchumi wa taifa huku mfumuko wa bei ukielekea tarakimu tatu, so, kimbilio ni hizo pombe na sababu ya mahitaji kwenda juu, watengenezaji wanachakachua nao!
habari ya kushangaza kidogo,
watu 7 wafariki na wengine wapo hoi wamelazwa hospitalini kwa kunywa
pombe haramu ya GONGO!,
hiii gongo iliwekwa nini wakuu?, mavi au?
sehemu zote dar zenye mambo ya kiswazi hata ushuani gongo inapatikana!.Kwa kweli hata me nimeshangaa sana kama jiji la Dar tena katikati pombe ya namna hii bado inapatikana!!
mkuu dar gongo inapatikana kwa WINGI wala usishangae!,Ndahani said:jana nimeona watu wanavyobebwa wakiwa hoi nimesikitika kweli. Kumbe dar bado kuna sehemu gongo inapatikana?