Gongo la mboto in pictures....

Hii nidalili ya wazi kuwa viongozi wa nchi hii sio wawajibikaji kila mmoja yupo ki maslahi ya familia yake na sio wananchi. wakuu wa majeshe, wanajeshi na viongozi wote wa nyanja za juu wanafanya kazi gani mpaka mabomu yanaribuka na sio mara ya kwanza, watanzania tuna haki ya kugoma kabisa kuipinga hii serekali
 
Inasikitisha sana. Mungu awe nanyi wahanga wa tukio hili
 
......tunaye mfariji ambaye ni Mungu wa mbinguni! Binadamu twaweza kusema mengi
lakini Mungu anajua uchungu na maumivu ambayo mnayapata watu wa Gongolamboto
na maeneo ya jirani!! Nawaombea kwa Mola awape faraja muistailiyo na yeye anajua
kila chozi linalotoka katika macho yenu!!!
 
Safari hii watasemaje?
Ikumbukwe Gongo la mboto kulishawahi kulipuka kabla ya Mbagala japo haikua na madhara makubwa.
Ni dhairi kwamba hakuna tahadhari yoyote iliyochukuliwa.
Huu ni uzembe ulio wazi kabisa.
 
inahuzunisha.....KWA WENYE HAMU NA VITA .....NADHANI WATAKUWA WAMEJIFUNZA JAPO KIDOGO...YAANI JAPO KIDOGO....MADHARA YAKE NI NINI
Wenye kushika madaraka halafu wakajisahau kua wapo hapo kwa maslahi ya waliowaweka ndio wenye hamu ya vita, kudai haki si kutaka vita.
 
Hii nahisi sio Gongo la mboto. Itakua tukio la Mbagala. U want to tell us rais kaenda huko leo.

Acha utomaso Rais Kaenda leo kama unabisha basi uwe unaangalia hata TV
 
yale ya mbagala walisema mabomu tanzania itakua historia je haya watasemaje?

Hahahhaa haya watasema itakuwa hadithi ya kufikirika!! upo hapo mkuu?!
 
Mungu awape nguvu, wafiwa wote, na awalaze marehemu mahali pema peponi
 
Acha utomaso Rais Kaenda leo kama unabisha basi uwe unaangalia hata TV
Kweli Rais ameenda huko ila haiwezekani kwamba alirudi ikulu akabadili nguo halafu akaelekea hospitali. Maana ktk picha za hospitalini alivaa suit kama ya kijivu na shirt ya light lilac.
Uwezekano mkubwa hizi picha ni za mbagala na siyo gombs.
 
Kweli Rais ameenda huko ila haiwezekani kwamba alirudi ikulu akabadili nguo halafu akaelekea hospitali. Maana ktk picha za hospitalini alivaa suit kama ya kijivu na shirt ya light lilac.
Uwezekano mkubwa hizi picha ni za mbagala na siyo gombs.

Hijalishi....swali ni kwanini ana smile na Mwamunyange wake katika matukio kama haya? Kubadili nguo kwawezekana pia...ugumu ni nini kwa mkwere wetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…