Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Mtoa mada PD haijafa bado ila usafiri wa bure ndo hakuna baada ya basi la pekee kupata Accident.
Najua kunawanaolia na kusaga meno but wapo wengine wanaangusha Kicheko cha nguvu kwa kufanikisha Azma yao.
Ndo hivyo tena waliolipia juzi na jana yabidi wasuspend ACC zao kusubiri tonge lingine au wazitumie kufichia M.asa.buri. Paje na munjy1 wapo anga zingine so kazi kwenu njunwa wamavoko mwl crtl na wadandiaji kusaka open port ingine na jinsi ya kutoa huduma kimya kimya.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Safi sana, siju kwa nini wamechelewa kuzipa hizo port mda wote huo... Tatizo la watanzania wengi ni vilaza mno, mnapata bahati ya kupata upenyo kama huo badala ya kula kimya kimya mnawatangazia watu oooh ukitaka net ya bure ni check PM na wengine waligeuza kuwa ndio biashara haya sasa kuleni Ma.sa.bu,ri Yenu.
hatimae basi limepata pancha tairi zote...abiria walionusurika bado haijajulikana ni wangapi...mwenye updates zozote kuhusu ajali hii atuabarishe
PD na TG ni vitu viwili tofauti kabisa, PD inatumia PD Proxy(VPN client) na TG inatumia Tunnel Guru(VPN client) ; ANGALIA PICHA HAPO CHINI
View attachment 124028
loading.......99.9%
scanning for open port.....
Port 80.... found
.... User saccessfully Terminated...
.
hiyo port siku wakiipiga chini ndo mtajua kuwa hivi vitu inabidi vifanywe confidential
nimejiunga JF August 2012 nikakuta TunnelGuru inauzwa na Paje na sheria zilikuwa "HAMNA NEW MEMBER WA JF BELOW APRIL 2012 ANARUHUSIWA KUPEWA MAUJANJA"
Hii ni sababu arond hizo siku Zantel waliweza kufix loopholes zao hivo members waliojiunga hicho kipindi walikuwa suspected kama wahusika wakubwa na wengi wao wakiwa IT wa zantel
Nahisi hii colonial era itarejea tena maana mna expose sana haya mambo
Hatimaye kampuni za simu zimezinduka au? Maana ni uzembe wa hali ya juu kuruhusu data inapita kwenye network yako bila kuweza kuifanyia accounting.
Safi sana, siju kwa nini wamechelewa kuzipa hizo port mda wote huo... Tatizo la watanzania wengi ni vilaza mno, mnapata bahati ya kupata upenyo kama huo badala ya kula kimya kimya mnawatangazia watu oooh ukitaka net ya bure ni check PM na wengine waligeuza kuwa ndio biashara haya sasa kuleni Ma.sa.bu,ri Yenu.
Kila kitu kipo OK, PD, Guru, TwinVPN zote zinapiga kazi. Ni baadhi ya maeneo ndio hawana connection.
- Angalia haka kapicha nipo connected na Air Romania
tengeneza short Video connct modem yako at 00 balance fungua page yoyote kwa kuwa hamna bundle page zitagoma hatua ya pili sasa fungua VPN yako i-connect iki-connect successfully na kufungua page hapo utakuwa umewa-WIN mathomaso
wanonko gri likipata pancha hapa ndo huwa tunawajua Vp brother mbona umepanic wakati kitu bado inasukuma mzigoBurst tairi zote hope hamna aliyenusurika ...RIP wezi wote wa mtandaoni
mchana majira ya sa7 sikuwa napata connection. Ngoja nikajaribu jioni hii nione mambo yako vipi
Hivi hii ni Signature ya nani vile? hahaha utalia mwaka ujao tuombe uzima... Alafu mimi siyo Kaka.No system can be "secure"
All locks have keys
All keys can be recreated